Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi

It is very unfortunate, baadhi ya Watanzania wenzetu, ni macho yao ni myopic, uwezo wao wa kuona ni mpaka mwisho wa pua zao, na pia licha ya kuwa na myopia, pia wana impaired vision, uwezo wao wa uoni ni unidirectional, wanaona upande mmoja tuu pekee, ule upande wa mabaya na mapungufu na negatives tuu, upande wa mema, mazuri na positives, wao, hawaoni, hivyo kazi yao ni kulalamika tuu, kulaani na kushutumu, na wewe ni miongoni mwao.

Kutokana na kuwa one sised, hata mabandiko yangu yanayokosoa, huyaoni, unayaona yanayosifia tuu. Ukiwa mkweli wa dhati toka ndani ya nafsi yako, utayaona mazuri na utasifu mna kukosoa mabaya. Haiwezekani watu mnao mabaya tuu, huo ni ushetani.
Karibu mitaa hii
P.
 
Hujielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…