Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu uzi uunganishwe tu na nyinge. Au ufutwe kabisa. Ni upupu tu.

Maisha yamekaza hivyo afu anatokea mtu anaota tu kamq hivi yani.
Ww kama huna hoja kuna kundi la wendawazimu kajiunge.
 
Ukiona umeanzisha mada kama hii mapema kabla ya mwaka wa uchaguzi kufika maana yake unaweweseka.Anayejiamini hana maneno mengi yakujitapa..vitendo vitaongea muda ukifika.
Nawanaosema hatashinda wanafanyaje?? Wakat bado mapema???
 
Dr Slaa ni mwanasiasa asiye na mipaka. Ni potential popote atakapokuwa.
 
Dr Slaa ni mwanasiasa asiye na mipaka. Ni potential popote atakapokuwa.
Akienda CCM kanunuliwa?? Akirudi chadema ni potential??? What the hell is this![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ujinga umeutoa wapi?..Amka kwenye hiyo ndoto haina afya.
 
Swali hilo waulize wabunge wetu wa sasa kwanza.....
Basi mpaka umetoa kauli hiyo ni dhahiri unamatumain na chama chochote cha siasa bas ni vyema kwa kauli yako mwenyewe useme tu kuwa ccm iendelee na kazi pale ilipo ishia
 
Nawanaosema hatashinda wanafanyaje?? Wakat bado mapema???
Mnasikilizaje mitazamo ya wasio na madaraka yoyote.nyie ndo mko madarakani fanyeni wajibu wenu kwausahihi badala ya kuweweseka na kauli na mitazamo ya wasio na madaraka.Mwisho wananchi ndio wanaotakiwa waamue nasio wewe kuanza kukaririsha maamuzi ya uchaguzi ambao muda wake bado ata kama mna access ya vyombo vya dola na tume ya uchaguzi.
 
Upinzani hoja hakuna ni allegations za mara police,tume etc kila kukicha!!
 
Moja ya changamoto kubwa inayoturudisha nyuma watanzania ni pale mtu mzima anapoamka au kulala akiwazia kushinda uchaguzi uchaguzi hata kwa majira yasiyohusiana.
 
Moja ya changamoto kubwa inayoturudisha nyuma watanzania ni pale mtu mzima anapoamka au kulala akiwazia kushinda uchaguzi uchaguzi hata kwa majira yasiyohusiana.
Ndugu unasoma nyakati kwel?? Hapa kinacholengwa ni uchaguz kwa kias kikubwa..
 
Ni hivi hata Ngendere atashinda uchaguzi Kupitia CCM.

Upinzani wa Tanzania bado sana. Wako zaidi kimaslahi binafsi sio kama Kenya, Malawi, UK,USA. Wanawaita wapiga kura wao maneno ya kejeli,washamba, sukuma gangs nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…