Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata kama akishindwa Tume hiyo itafanya UJECHA.
 
Niwaambie badala ya Samia atakuwa nani, au basi nisitoe Siri za chama. 😃😃😃😃
 
100%✓
 
mipango ya kuchakachua kura + vyombo vya ulinzi na usalama (polisi n.k)= ushindi wa kishindo
 

Tume ya Uchaguzi Yake
Jeshi lake
Form inatoka moja
TEETH yake

Unategemea kushindwa?
 
Kama Mama ataamua kugombea Urais 2025 na akapewa ridhaa ya CCM hatashinda kwa hizo sababu ulizosema,atashinda kwa sababu ni mwana CCM.
 
Mkuu hakuna mnyonge, mtegemezi anayempenda wajiri.
Siku zote muajiriwa anaona kama muajiri anampunja.
Lakini kwa upande mwingine, muajiriwa haoni kuwa bila muajiri angekuwa mtaani bila ajira.
Nchi nyingine waajiri wanaotoa fursa wanapewa incentives.
 
Abood: Ukiona wanamsifia, jua wametoka kuiba!!

Kiukweli,


HATOGOMBEA!!
 
Kwa. Mfumo wetu wa uchaguzi ulivyo hakuna mshindi.
Kuna anayetangazwa kwamba ameshinda.
Mwenye final say siyo mpiga kura bali anayetangaza matokeo
 
Sisi ni binadamu, anaweza asifike pia......tupunguze utabiri maana hatujui ya kesho
 
Abood: Ukiona wanamsifia, jua wametoka kuiba!!

Kiukweli,


HATOGOMBEA!!
Nyie ndio mambumbumbu swuared ambao mnategemea vya kuletewa mezani.
Hamjishughulishi wala kujipa shida katika kutafuta njulugu.
Chini ya mama watu wanachakarika kutafuta pesa, na wanazipata.
Nyie kaeni vijiweni mkinywa gahwa!
 
Nyie ndio mambumbumbu swuared ambao mnategemea vya kuletewa mezani.
Hamjishughulishi wala kujipa shida katika kutafuta njulugu.
Chini ya mama watu wanachakarika kutafuta pesa, na wanazipata.
Nyie kaeni vijiweni mkinywa gahwa!
Tofauti Yako wewe na Lucas, uchawa kwako ni part time job!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…