3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
naona TANZANIA DAIMA la Mbowe naona linaanza kukusanya habariWaliofungiwa vyombo vya hbr wafunguliwe
Acha Kabisa.Hatuwezi kujitenga kama kisiwa lakini hatuwezi pia kupokea kila kitu.
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Hasara ya taifa na ikiisha no manufaa ya taifa piaHivi Kwa mfano, isipokamilishwa itakuwa ni hasara ya Nani??
Na ikikamilishwa atanufaika Nani vile??
Mi pia namshangaa kweliHivi waziri wa Afya ndivyo alivyo au amemind maana muda wote kanuna