Rais Samia Suluhu Hassan: Heshima, Kujiheshimu, kuwa na malengo na kujua wapi unapotaka kwenda

Rais Samia Suluhu Hassan: Heshima, Kujiheshimu, kuwa na malengo na kujua wapi unapotaka kwenda

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2020
Posts
12,077
Reaction score
12,786
Akiongea na wanafunzi na watoto wa kike, mh.Rais Samia Suluhu Hassan ALIWASHAJIISHA adabu na nidhamu vijana hao huku akiwasimulia mikasa aliyoipata katika safari yake ya maisha.

Alianza kuwaelezea mapito aliyopitia katika UWAJIBIKAJI WAKE WA KAZI katika SEKTA BINAFSI na TAASISI ZA KISERIKALI.

Alikwenda mbali kuwaeleza SIRI YAKE YA KUTEULIWA kuwa mgombea wa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ilitokana na UTULIVU WAKE ,NIDHAMU YAKE, KUJISHUSHA KWAKE, UBUNIFU WAKE, UVUMILIVU WAKE hususani kwa kuwa na zile "P tatu, 3P's" ambazo ni :

1) PATIENCE(uvumilivu)
2) PERSISTENCE(ung'ang'anizi)
3) PERSEVERANCE(ukakamavu wa mwili na nafsi ukutanapo na magumu ya kiasili na yasababishwayo na wanadamu).

MY TAKE:
Vijana wadogo wayachukue maneno adhimu ya Rais wetu kipenzi Mh. Samia Suluhu Hassan kama rejea ya KUYAFAKIA MALENGO YAO YA KIMAISHA yoyote yawayo huku WAKIMTUMAINIA MWENYEZI MUNGU NA KUMUOMBA SANA AWAPE AFYA NJEMA NA UHAI MREFU wenye manufaa mema kwao na WANAJAMII huku wakijishusha(down to earth) ili MWENYEZI MUNGU AWAINUE!!

SIEMPRE TANZANIA
HASTA LA VICTORIA CCM
ALUTA CONTINUA CCM
SIEMPRE EL COMMANDANTE "SSH".

#BinadamuWoteNiSawa
#Kila MtuAnastahiliHeshimaYaKutambuliwaNaKuthaminiwaUtuWake
#UjamaaNaKujitegemeaNdiyoNjiaSahihiYaKujengaJamiiIliyoSawaNaHuru.

FB_IMG_16205900264461191.jpg


FB_IMG_16207594699412679.jpg


FB_IMG_16198102800167703.jpg


FB_IMG_16198101496519716.jpg


FB_IMG_16197222499644305.jpg


FB_IMG_16197222796203295.jpg


FB_IMG_16197222096411721.jpg
 
Nakwambieni tumepatikana mwaka huu, Rais bado haamini kama yeye ni mkuu wa nchi.
 
Mambo mengine ni bahati tu na kuwa na mtandao kwenye chama, hamuwezi watanzania wote kuwa viongozi,
Mbona hiyo bahati hakupata mwingine ?!!!

BAHATI NDIO NGUZO YA MAFANIKIO DUNIANI....
 
Sidhani kama alifanya yote hayo akijua siku moja atakuwa Rais

Duniani kuna vitu vinatokea tu by chance

Sisi wakristo tunaviita Neema ya Yesu Kristo ikikuangukia tu Oyeeeee

Sidhani wala sitegemei atasema alifanya au alikuwa vile ili siku moja awe Rais

Wanaofanya hivyo Urais wanauona kwenye jumba la makumbusho tu

Itoshe kusema mama anayo bahati yake mwenyewe na amshukuru Mungu sio hivyo sijui vi-3R's sijui vi-3C's sijui vi-5W's au vingine mnaviitaga vi-3E's

Mbwembwe tupu
 
Kweli kabisa ,katika maisha yako always Omba Bahati na Neema hivi vitu ni nguzo ya mafanikio ya Mwanadamu la sivyo utakuwa unapiga kwata ukiwa palepale .
Achaneni na motivational speeches aisee nendeni kwenye uhalisia.
Sawa Komredi!
Kweli uhalisia ni muhimu km ilivyo motivational speeches kwa VIJANA WADOGO!!
 
Back
Top Bottom