Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Akiongea na wanafunzi na watoto wa kike, mh.Rais Samia Suluhu Hassan ALIWASHAJIISHA adabu na nidhamu vijana hao huku akiwasimulia mikasa aliyoipata katika safari yake ya maisha.
Alianza kuwaelezea mapito aliyopitia katika UWAJIBIKAJI WAKE WA KAZI katika SEKTA BINAFSI na TAASISI ZA KISERIKALI.
Alikwenda mbali kuwaeleza SIRI YAKE YA KUTEULIWA kuwa mgombea wa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ilitokana na UTULIVU WAKE ,NIDHAMU YAKE, KUJISHUSHA KWAKE, UBUNIFU WAKE, UVUMILIVU WAKE hususani kwa kuwa na zile "P tatu, 3P's" ambazo ni :
1) PATIENCE(uvumilivu)
2) PERSISTENCE(ung'ang'anizi)
3) PERSEVERANCE(ukakamavu wa mwili na nafsi ukutanapo na magumu ya kiasili na yasababishwayo na wanadamu).
MY TAKE:
Vijana wadogo wayachukue maneno adhimu ya Rais wetu kipenzi Mh. Samia Suluhu Hassan kama rejea ya KUYAFAKIA MALENGO YAO YA KIMAISHA yoyote yawayo huku WAKIMTUMAINIA MWENYEZI MUNGU NA KUMUOMBA SANA AWAPE AFYA NJEMA NA UHAI MREFU wenye manufaa mema kwao na WANAJAMII huku wakijishusha(down to earth) ili MWENYEZI MUNGU AWAINUE!!
SIEMPRE TANZANIA
HASTA LA VICTORIA CCM
ALUTA CONTINUA CCM
SIEMPRE EL COMMANDANTE "SSH".
#BinadamuWoteNiSawa
#Kila MtuAnastahiliHeshimaYaKutambuliwaNaKuthaminiwaUtuWake
#UjamaaNaKujitegemeaNdiyoNjiaSahihiYaKujengaJamiiIliyoSawaNaHuru.