Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

Mkuu naona unachanganya awamu na muhula. Inategemea na unayatumia hayo maneno kwa muktadha upi.

Muhula ndiyo hiyohiyo awamu. Awamu inajitifautisha kwa sera zake na mipango yake. Na hili suala la sera na mipango linatanyika kila baada ya miaka mitano.
 
Katiba haina mambo ya awamu
Sio kosa la wasomi wala suala la kujiamulia.Bali ni matakwa ya katiba, Kuwa Rais akipokea kijiti ndani ya miaka isiýopungua mitatu hiyo itakuwa awamu yake
 
Aluta Continue
 
Muhula ndiyo hiyohiyo awamu. Awamu inajitifautisha kwa sera zake na mipango yake. Na hili suala la sera na mipango linatanyika kila baada ya miaka mitano.
Shida ni kwamba, hili jambo la awamu/ muhula lipo kimazoea zaidi. Halipo kwenye katiba. Kule wanaongelea vipindi, kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.

Sasa hii zamu ya Rais anaeingia madarakani kutambulika kwa awamu yake ni mwendo huo huo wa mazoea yaliyodumu kwa muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…