Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa legacy wanataka kulazimisha agenda zao🤔.Awamu zinahesabika kwa vichwa vya marais so as to document legacy correctly! Hata akikaa mwezi, AWAMU IMEISHA NA LEGACY YAKE TAYARI, HUWEZI KUIUNGANISHA NA YA RAIS MWINGINE.
Tukiwaambia katiba mpya wanafinya finya pua na midomo. Kwa hii iliyopo wanakaribia hata kushindwa kutambua kama ni usiku au mchana, bado wanaing'ang'ania tuu.Je, serikali ya kikoloni ilikuwa ni awamu ya ngapi?
Hivi vitu viwe defined na kutambulkka kisheria.
Nchi inaenda hovyo hovyo tu.Mi najua awamu ya Urais ni miaka mitano. So hapa tutakuwa tupo awamu sijui ya ngapi, mi tano ya Magu awamu moja, Kikwete 2, Mkapa 2, Mwinyi 2. Nyerere alipigiwa kura mara ngapi? Kama ni kila miaka mitano basi alitawala karibi awamu tano. So tupo awamu ya ngapi?
Hii tupo awamu ya 13.
Mods naheshimu msimamo wenu na kazi yenu ya kuunganisha nyuzi zenye mfanano wa aina fulani. Lakini naomba kwa upole na unyenyekevu nkubwa msiunganishe huu uzi na nyingine. Nimeomba, asante sana!
Wana JF wa CCM na Upinzani na wasio na chama, Je ni kweli Rais Samia ni Rais wa awamu ya 6 ama 5?
Kumradhi:
Naomba nitangulie kusema kwamba kati ya Jambo kubwa linaloigharimu nchi yetu ni kukosekana wasomi 'very competent'; naweza kusema wasomi wetu wengi kwenye hili Taifa ni product ya 'Q & A' kwenye vitini vya hapa na pale. Taifa letu halina wasomi wenye 'natural thinking ability' badala yake tuna wasomi wengi wanao reason kwa kuambaambaa na upepo wa wakati ule. Again, kumradhi!
Nasema hivyo kwa sababu, hadi sasa hakuna msomi yeyote wa chuo chochote ama kutoka popote ambaye amewahi ku 'challenge' kisomi uwepo wa awamu ya 6 badala ya kuitwa awamu ya 5.
Awamu ya uongozi inakuwa na elements kuu tatu:
1. Uchaguzi wa urais na makamu wake
2. Uchaguzi wa wabunge kwenye majimbo pia na viti maalum
3. Uchaguzi wa Madiwani pia viti maalum.
Ilivyo ni kwamba, lazima Rais anayegombea awe na makamu wake. Logic ya kuwa na makamu ni kwamba, in case of anything unusual basi makamu wa Rais ndio anashika usukani na kuendelea. Kwa maneno mengine makamu wa Rais ni Rais.
Kuna nyakati Rais anakuwa na hali mbaya ya ki afya hivyo Makamu wake ndio anasimama kwenye nafasi yake hivyo ni Rais.
Kuna wakati mwingine Rais anakuwa yupo nje ya mipaka ya nchi yake hivyo anayesimama kwenye nafasi yake ni makamu wa Rais hivyo ni Rais.
Kipekee sana, kuna mifano mingi mno inayohalalisha kuwa makamu wa Rais ni Rais kwa maneno mengine kiasi kwamba hawezi kujitenga na awamu alioombea kura.
Kama hivyo, ni lini Rais Samia aliomba kura ya kuwa Rais wa nchi hii? Hajawahi, bali aliomba ya kuwa makamu wa Rais wa awamu ya 5.
Ni lini Rais Samia aliomba kura ya wabunge wake? Ameomba akiwa awamu ya 5.
Na Madiwani je? Pia akiwa awamu ya 5.
Kuna mambo mengi yanayoelezea kiwaziwazi kuwa Rais Samia ni Rais wa awamu ya 5 na sio ya 6.
Awamu ya urais ni package (Kuomba kura ukiwa na makamu wako + Kuunda Bunge Jipya + Kuteua Waziri Mkuu mpya + Kuteua speaker qa Bunge mpya) na kuendelea!
Ndio maana, nasisitiza tena ndio maana Magufuli alipochaguliwa awamu yake ya Kwanza aliunda Serikali yake kuanzia Bunge, Madiwani, na kwingine kote.
Alipochaguliwa awamu yake ya pili alifanya hivyo hivyo kama alivyofanya hapo awamu ya Kwanza, yaani as if anaanza kitu kipya tena kama vile hakuwepo.
Sasa, Rais Samia yeye ameunda Serikali yake? Ndio aliunda wakisaidiana na Rais Magufuli na ndio maana hata baada ya Magufuli kufariki aliendelea na serikali ile ile iliyopo maana ndio Serikali yake.
Kwa sasa kama Rais Samia akigombea mwaka 2025 - 2030 basi anakuwa rasmi ni Rais wa awamu ya 6 (sita).
Nawaasa wasomi wa Taifa hili wa kila kada, amkeni kwa ajili ya Taifa lenu!
Dah hii nchi hii!Msomi Joseph Magata akufafanua vizuri wewe ndiye hukusoma akichoandika.
Hiki hapa ukisome
Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais
- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Makala hii ilitoka July 13, 2021 kwenye RAIA MWEMA ukurasa wa 13 - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Rais John Magufuli alifariki saa 12:00 jioni ya tarehe 17/03/2021, Rais Samia...www.jamiiforums.com
Mkuu hapa bongo bora liende ,Samia ni rais wa awamu ya tano ,watake wasitakeMods naheshimu msimamo wenu na kazi yenu ya kuunganisha nyuzi zenye mfanano wa aina fulani. Lakini naomba kwa upole na unyenyekevu nkubwa msiunganishe huu uzi na nyingine. Nimeomba, asante sana!
Wana JF wa CCM na Upinzani na wasio na chama, Je ni kweli Rais Samia ni Rais wa awamu ya 6 ama 5?
Kumradhi:
Naomba nitangulie kusema kwamba kati ya Jambo kubwa linaloigharimu nchi yetu ni kukosekana wasomi 'very competent'; naweza kusema wasomi wetu wengi kwenye hili Taifa ni product ya 'Q & A' kwenye vitini vya hapa na pale. Taifa letu halina wasomi wenye 'natural thinking ability' badala yake tuna wasomi wengi wanao reason kwa kuambaambaa na upepo wa wakati ule. Again, kumradhi!
Nasema hivyo kwa sababu, hadi sasa hakuna msomi yeyote wa chuo chochote ama kutoka popote ambaye amewahi ku 'challenge' kisomi uwepo wa awamu ya 6 badala ya kuitwa awamu ya 5.
Awamu ya uongozi inakuwa na elements kuu tatu:
1. Uchaguzi wa urais na makamu wake
2. Uchaguzi wa wabunge kwenye majimbo pia na viti maalum
3. Uchaguzi wa Madiwani pia viti maalum.
Ilivyo ni kwamba, lazima Rais anayegombea awe na makamu wake. Logic ya kuwa na makamu ni kwamba, in case of anything unusual basi makamu wa Rais ndio anashika usukani na kuendelea. Kwa maneno mengine makamu wa Rais ni Rais.
Kuna nyakati Rais anakuwa na hali mbaya ya ki afya hivyo Makamu wake ndio anasimama kwenye nafasi yake hivyo ni Rais.
Kuna wakati mwingine Rais anakuwa yupo nje ya mipaka ya nchi yake hivyo anayesimama kwenye nafasi yake ni makamu wa Rais hivyo ni Rais.
Kipekee sana, kuna mifano mingi mno inayohalalisha kuwa makamu wa Rais ni Rais kwa maneno mengine kiasi kwamba hawezi kujitenga na awamu alioombea kura.
Kama hivyo, ni lini Rais Samia aliomba kura ya kuwa Rais wa nchi hii? Hajawahi, bali aliomba ya kuwa makamu wa Rais wa awamu ya 5.
Ni lini Rais Samia aliomba kura ya wabunge wake? Ameomba akiwa awamu ya 5.
Na Madiwani je? Pia akiwa awamu ya 5.
Kuna mambo mengi yanayoelezea kiwaziwazi kuwa Rais Samia ni Rais wa awamu ya 5 na sio ya 6.
Awamu ya urais ni package (Kuomba kura ukiwa na makamu wako + Kuunda Bunge Jipya + Kuteua Waziri Mkuu mpya + Kuteua speaker qa Bunge mpya) na kuendelea!
Ndio maana, nasisitiza tena ndio maana Magufuli alipochaguliwa awamu yake ya Kwanza aliunda Serikali yake kuanzia Bunge, Madiwani, na kwingine kote.
Alipochaguliwa awamu yake ya pili alifanya hivyo hivyo kama alivyofanya hapo awamu ya Kwanza, yaani as if anaanza kitu kipya tena kama vile hakuwepo.
Sasa, Rais Samia yeye ameunda Serikali yake? Ndio aliunda wakisaidiana na Rais Magufuli na ndio maana hata baada ya Magufuli kufariki aliendelea na serikali ile ile iliyopo maana ndio Serikali yake.
Kwa sasa kama Rais Samia akigombea mwaka 2025 - 2030 basi anakuwa rasmi ni Rais wa awamu ya 6 (sita).
Nawaasa wasomi wa Taifa hili wa kila kada, amkeni kwa ajili ya Taifa lenu!
Maelezo yameshiba halafu unapotosha waziwazi ,nchi hii?,tuna viazi kweliAwamu zinahesabika kwa vichwa vya marais so as to document legacy correctly! Hata akikaa mwezi, AWAMU IMEISHA NA LEGACY YAKE TAYARI, HUWEZI KUIUNGANISHA NA YA RAIS MWINGINE.
Dah hii nchi hii!
Kwa hio wewe umesoma alichoandika na kweli ukaelewa kwamba Rais Samia ni wa awamu ya 6?
Hebu soma haya maneno aliyoyaandika!
.....
Sasa tuirejee ibara ya 51(2) inayosema rais "akishashika madaraka" atateua waziri mkuu. Je, Rais Samia alishika lini madaraka ya urais? Mfumo wa urithi tuliouona na pia katiba yetu vinajibu swali hili kama ifuatavyo.
Moja, makamu wa rais ni mrithi kama "prince" na "princess", hivyo, si tu madaraka aliyarithi sekunde ya kifo cha Rais Magufuli, bali pia hakulazimika kuapishwa.
Mbili, kwa kuwa anapofanya "kazi zote" za rais ibara ya 47(1)(c) ya katiba haimuhitaji aapishwe, ndivyo pia haikumuhitaji aapishwe sekunde Rais Magufuli alipokosekana kazini kwa kufariki.
Kiapo alichoapa Rais Samia hakikuongeza jukumu jipya nje ya aliyoyapata sekunde ile aliyofariki Rais Magufuli. Hivyo Samia Suluhu ameanza urais tangu sekunde aliyofariki Rais Magufuli.
Hata inapotokea anapishwa, japo si lazima....
Jisomee hayo maneno yake!
Awamu tunazozungumzia ni za baada ya uhuru kupatikana 1961Je, serikali ya kikoloni ilikuwa ni awamu ya ngapi?
Hivi vitu lazima viwe defined na kutambulkka kisheria.
Mwinyi alitawala mihula mingapi na alihesabiwa kuwa Rais wa awamu ya ngapi?Mkuu hapa bongo bora liende ,Samia ni rais wa awamu ya tano ,watake wasitake
Sawa, kisheria imeandikwa wapi?Awamu tunazozungumzia ni za baada ya uhuru kupatikana 1961
Kwani Samia ni Rais wa ngapi wa Tanzania Bara?
Awamu ya urais ni package (Kuomba kura ukiwa na makamu wako + Kuunda Bunge Jipya + Kuteua Waziri Mkuu mpya + Kuteua speaker qa Bunge mpya) na kuendelea!Mods naheshimu msimamo wenu na kazi yenu ya kuunganisha nyuzi zenye mfanano wa aina fulani. Lakini naomba kwa upole na unyenyekevu nkubwa msiunganishe huu uzi na nyingine. Nimeomba, asante sana!
Wana JF wa CCM na Upinzani na wasio na chama, Je ni kweli Rais Samia ni Rais wa awamu ya 6 ama 5?
Kumradhi:
Naomba nitangulie kusema kwamba kati ya Jambo kubwa linaloigharimu nchi yetu ni kukosekana wasomi 'very competent'; naweza kusema wasomi wetu wengi kwenye hili Taifa ni product ya 'Q & A' kwenye vitini vya hapa na pale. Taifa letu halina wasomi wenye 'natural thinking ability' badala yake tuna wasomi wengi wanao reason kwa kuambaambaa na upepo wa wakati ule. Again, kumradhi!
Nasema hivyo kwa sababu, hadi sasa hakuna msomi yeyote wa chuo chochote ama kutoka popote ambaye amewahi ku 'challenge' kisomi uwepo wa awamu ya 6 badala ya kuitwa awamu ya 5.
Awamu ya uongozi inakuwa na elements kuu tatu:
1. Uchaguzi wa urais na makamu wake
2. Uchaguzi wa wabunge kwenye majimbo pia na viti maalum
3. Uchaguzi wa Madiwani pia viti maalum.
Ilivyo ni kwamba, lazima Rais anayegombea awe na makamu wake. Logic ya kuwa na makamu ni kwamba, in case of anything unusual basi makamu wa Rais ndio anashika usukani na kuendelea. Kwa maneno mengine makamu wa Rais ni Rais.
Kuna nyakati Rais anakuwa na hali mbaya ya ki afya hivyo Makamu wake ndio anasimama kwenye nafasi yake hivyo ni Rais.
Kuna wakati mwingine Rais anakuwa yupo nje ya mipaka ya nchi yake hivyo anayesimama kwenye nafasi yake ni makamu wa Rais hivyo ni Rais.
Kipekee sana, kuna mifano mingi mno inayohalalisha kuwa makamu wa Rais ni Rais kwa maneno mengine kiasi kwamba hawezi kujitenga na awamu alioombea kura.
Kama hivyo, ni lini Rais Samia aliomba kura ya kuwa Rais wa nchi hii? Hajawahi, bali aliomba ya kuwa makamu wa Rais wa awamu ya 5.
Ni lini Rais Samia aliomba kura ya wabunge wake? Ameomba akiwa awamu ya 5.
Na Madiwani je? Pia akiwa awamu ya 5.
Kuna mambo mengi yanayoelezea kiwaziwazi kuwa Rais Samia ni Rais wa awamu ya 5 na sio ya 6.
Awamu ya urais ni package (Kuomba kura ukiwa na makamu wako + Kuunda Bunge Jipya + Kuteua Waziri Mkuu mpya + Kuteua speaker qa Bunge mpya) na kuendelea!
Ndio maana, nasisitiza tena ndio maana Magufuli alipochaguliwa awamu yake ya Kwanza aliunda Serikali yake kuanzia Bunge, Madiwani, na kwingine kote.
Alipochaguliwa awamu yake ya pili alifanya hivyo hivyo kama alivyofanya hapo awamu ya Kwanza, yaani as if anaanza kitu kipya tena kama vile hakuwepo.
Sasa, Rais Samia yeye ameunda Serikali yake? Ndio aliunda wakisaidiana na Rais Magufuli na ndio maana hata baada ya Magufuli kufariki aliendelea na serikali ile ile iliyopo maana ndio Serikali yake.
Kwa sasa kama Rais Samia akigombea mwaka 2025 - 2030 basi anakuwa rasmi ni Rais wa awamu ya 6 (sita).
Nawaasa wasomi wa Taifa hili wa kila kada, amkeni kwa ajili ya Taifa lenu!
Ni aibu kubwa kwake ndg.Polepole...Mods naheshimu msimamo wenu na kazi yenu ya kuunganisha nyuzi zenye mfanano wa aina fulani. Lakini naomba kwa upole na unyenyekevu nkubwa msiunganishe huu uzi na nyingine. Nimeomba, asante sana!