Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
- Thread starter
-
- #81
Timu za wanaume TZ shida tupu! Wanawake kila siku wanashinda, wanampiga hadi msouth kwao! Hadi walemavu nao wanashinda na kwenda kombe la dunia! Ila hii mijamaa akina Samatta, Bokko na wenzao shida tupuAsisahau kuitakia kheri timu ya Taifa Simba sport club siku ya jmosi itakapokuwa inakwaana na timu kutoka Mogadishu....
Leo timu yote unayoijua wewe (Wenye nchi) watakuwepo! Ndugu yangu Polepole atakuwa anachungulia kwenye kile kideo chake anachofundishia! BTW Mkigoma alikuwa Singapore two weeks ago, kapiga show moja matata sana
Tatu haionekani...😜Moja haikai, mbili iko mbali...
huo utaratibu ndio sahihi.ni kama mkapa na jakaya walivyoasisi desturi ya kuhutubia taifa kila mwezi.Kuna nini, mbna taarifa ya ghafla Kama msiba?
Watanganyika ndio watu gani.Huyo mkoloni kutoka visiwani aache kuwachora watanganyika, hilo swala awachie wenye nchi yao watanganyika
Acha hizi akili za kipuuzi na za kitoto. JPM alikufa kwa mapenzi ya Mungu na kwa hayo hayo huyu akawa rais.Huo ndio ukweli, Tanganyika inapaswa kuongozwa na mtanganyika....huyo ni mvamizi (mkoloni)
Wabongo kwa kulalamika mtakiwa mpewe PHD.Sioni kama atakuwa na jipya maana siku naye yuko live kila siku. Kaiga ile tabia ya Magufuli kila siku kwenye TV.
Ameupiga mwingi ulaya ili mama asikilizwe nilazima ajibu kwanza maswali muhimu kuhusu lisu na democrasia demo cracy sio kurembua kau najicho limeiva Sana ni vitendoWhy? Leo akina Lissu wanaambiwa warudi
Hayupo kwenye TV kila siku, ni matukio anayohudhuria ndiyo yanamfanya awe kwenye TV kila Siku, And ukiacha TBC ambao ya Taifa, TVs nyingine pamoja na social medias wanarusha matukio yake bila kulipwa chochote, sababu zipo 3;1. Kuna ambao ni wazalendo wa nchi 2. Kuna wengine wanatafuta viewers and 3. Wengine wanajipendekeza kwa chama na serikali ili kakitokea kafursa wasiachwe!! MwanahalisiTV (Unawafahamu msimamo wao) kutwa kuchwa wanamfuata Rais anapokuwa kwenye matukio na kuyarusha live kwenye social medias zao, hao tafuta kundi la kuwaweka Bwana Tindo
Bado yupo sana mpaka 2030. Endelea kuota ndotoHuyo mvamizi (mmakunduchi) akitangaza kujiuzulu itakuwa fresh sana
Awachie watanganyika nchi yao
hi habari watakuwepo kuuliza maswali kama kwa Biden?
Ni kweli, ila ni kwa support ya tume ya uchaguzi na vyombo vya dola.Bado yupo sana mpaka 2030. Endelea kuota ndoto
As long as ni kwa masilahi makubwa ya Taifa siyo mbayaNi kweli, ila ni kwa support ya tume ya uchaguzi na vyombo vya dola.
Naona hapo kuna Bendera 2 ya Tanzania sijui hiyo nyingine ni ya wapi??