Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Mazungumzo ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni kitanzi kwa MATAGA sababu hamtaki wananchi tupate maendeleo ya kweli.Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Tayari wameshaambiwa na bahasha zimeshatembeaAsije akawaita falaga kuwaambia kuwa wasiandike habari kuhusu katiba mpya
Hapo pagumu snNi lini atalifumua JESHI la Polisi ili kuunda HUDUMA ya Polisi hapa nchini?
Lisu alikuwa anampeleka gereji magufuli mara kwa mara wakati wa kameni. Na baada ya uchaguzi hali haijawahi kuwa nzuri kwa magufuli hadi umauti kumkutaMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Hayo ndio matarajio yako? Ukiushaupata utautumiaje?Mwache mama atuletee Uhuru wa kweli.
Ni mawaoz yako tu yenye ukakasi kama kawaida yanayotarajiwa toka kwako.Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Acha makasiriko, siku 100 ni kipimo cha dunia nzima kupima uelekeo wa utawala mpya.Hivi mbona tunaishi Kwa kukariri? Yeye amekuwepo madarakani siku zote hizo,hizo Siku 100 Ni zipi? Kuna uhusiano gani kati ya Siku 100 na kuonekana kuwa atafaulu au hatafaulu katika Uongozi wake? Kuna uhusiano gani kati ya Siku 100 na kuonekana kuwa anayo maono?Badala ya kuchapa Kazi yeye yuko busy na Siku 100! Maisha Yale Yale ya kukosa ubunifu au kutojitofautisha na wengine. Nani alisema kuwa lazima ueleze Yale uliyoyafanya kila Siku 100 zinapotimia ukiwa madarakani?