Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Wahariri leo 28.6.2021

Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Wahariri leo 28.6.2021

Ngoja tusubiri wahariri huwa qaoga na kujipendekeza sana utaona maswaki ya kitoto watayouliza ....leading questions ...subiri uone unafiki wao...
 
1) Kati ya mambo yanayosababisha nchi kuwa ya wachuuzi badala ya wazalishaji, ni sheria za uwekezaji zinazobadilika mara kwa mara. Unaanza kujenga kiwanda sheria unaiona nzuri, unaezeka majengo, sheria imebadilika, unaagiza mitambo sheria imebadilika, unaanza uzalishaji sheria imebadilika. Ni lini Tanzania itakuwa na sheria ya uwekezaji ambayo haitabadilika ovyoovyo, angalao kwa miaka 20 ili wanaowekeza wasiwe na hofu ya chochote kutokea wakati wowote kikaathiri uwekezaji wao?

2) Kati ya mambo yanayofanya tuwe na sheria mbaya za kodi na uwekezaji, ni kuwa na watendaji wasiojua chochote kuhusu uwekezaji na biashara. Ni lini tutakuwa na sheria inayolazimisha watendaji wakuu wa masuala ya uwekezaji na kodi kuwa watu wenye uelewa wa kutosha kwenye sekta hizo badala ya kutizama uelekeo wao wa kisiasa?

3) Kulikuwa na hukumu ya mahakama iliyozuia wakurugenzi wa Wilaya kuwa wasimamizi wa uchaguzi kutokana na wao kuwa makada na hata ule utaratibu wao wa kuteuliwa. Lakini kwa sababu mahakama zetu zilikosa uhuru wakati wa awamu ya 5, hukumu ile iliyokuwa na mantiki ilifutwa. Je, ni nini unafikiria kukifanya ili Tume ya uchaguzi iwe huru kweli, na siyo huru kinadharia ka ilivyo sasa?
 
Ngoja tusubiri wahariri huwa qaoga na kujipendekeza sana utaona maswaki ya kitoto watayouliza ....leading questions ...subiri uone unafiki wao...
Wengi wao, upeo na uwezo wao ni mdogo. Maswali ambayo huwa wanauliza ni mepesi sana.
 
Acha makasiriko, siku 100 ni kipimo cha dunia nzima kupima uelekeo wa utawala mpya.
Kiplmo cha Dunia nzima kilichoanzishwa wapi na lini? Eleza jinsi Siku 100 zilivyo na uhusiano wa muelekeo wa Utawala au Uongozi! Kwa nini Siku 100 na sio Pungugu ya hapo au baada ya hapo? Kwa nini isiwe miaka 5 ya Kikatiba?
 
Narudia tena, acha makasiriko. Unahatarisha afya yako.
 
Nimeyaoenda sana maswali ya mleta mada. Hata hivyo nina swali langu lingine.

Swali langu kwa mama: kwanini serikali hairekebishi mfumo wa utozaji ushuru wa forodha pale bandarini ili ushuru unaotozwa kwenye bidhaa usizidi bei ya manunuzi? Mfano gari ya mil 10 ushuru wake usizidi mil 10.
 
Mama hivi mmeshindwa kabisa kumkamata kigogo? Kama vipi muombe msaada kwa kwa fbi na cia kulikamatan hilo lijibwa linalotetea haki wakati sisi tunataka tuendelee kutekwa na wasiojulikama kama zamani. Maaana tulikuwa tunaenjoy sana kufichwa na kuliwa tigo.
 
Kiplmo cha Dunia nzima kilichoanzishwa wapi na lini? Eleza jinsi Siku 100 zilivyo na uhusiano wa muelekeo wa Utawala au Uongozi! Kwa nini Siku 100 na sio Pungugu ya hapo au baada ya hapo? Kwa nini isiwe miaka 5 ya Kikatiba?
Mkuu huu ni umbumbumbu. Haya Mambo mbona yako tele mitandaoni? Si ujisomee!! Unadhani siku 100 zimeanzishwa na ccm ama wakosoaji wa Samia? Ingia mtandaoni kuna maelezo ya kueleweka usiwe mvivu.
 
3. Nini hatima ya Waandishi wa Habari waliopotezwa kipindi cha mtangulizi wake kama Azori Gwanda wa Mwananchi?

4. Kwanini mpaka sasa msgazeti ya Tanzania Daima na MwanaHalisi hayajaingia mtaani hata baada ya kutoa maelekezo yake?

5. Kwanini mpaka Leo watu walohusika na shambulio la aliyekuwa Mbunge wa Singida Mash. Mhe Antipas Tundu Lissu hawajakamatwa na kushtakiwa na Nini hatima ya swala hilo?
 
Vip kuhusu watu wetu waliopotea ,anamkakati gani kuhakikisha wanapatikana ,tujue hata makabuli yaoo....!
Hili nalo neno zuri kumuuliza ubaya qatu tisswameshafanya yao kwa waalikwa....maswali hayo hayatakuwepo.....mtashangaa
 
Mama hivi we ndo kigogo au! Maana haiwezekani kigogo yumo humo humo lakini humkamati!
 
1. Rais uliahidi kukutana na wapinzani, Je ni lini hasa wananchi watarajie mkutano huu?

2. Wewe ulikuwa makamu mwenyekiti wa BMK Mchakato huo haujafikia mwisho bado. Je unawaahidi nini wa watanzania ili mchakato huo uwezo kukamilika na kuwapatia wananchi katiba mpya?
Mnajuwa mnatakiwa muache viherehere mama ndiyo kwanza anaendelea na mchakato wakukutana na makundi mbalimbali na anaendelea kwanini mnalazimisha hao wapinzxani wawe wa kwanza? kwani ameshamaliza?

Kuweni wavumilivu yaani mnaonyesha ni kiasi gani muna mihemko kiasi kwamba hata mkiitwa mtashindwa kuongea mambo ya maana mpaka kikao kinaisha, suala la katiba mpya kishaga sema siyo muda wake huu msubiri mnaharakja gani na kaitba mpya wakati hata hii iliyopo hamuijui vizuri?
 
Mkuu huu ni umbumbumbu. Haya Mambo mbona yako tele mitandaoni? Si ujisomee!! Unadhani siku 100 zimeanzishwa na ccm ama wakosoaji wa Samia? Ingia mtandaoni kuna maelezo ya kueleweka usiwe mvivu.
Umbumbu Ni kunitaka Mimi nikopi methodologies za watu wengine kana kwamba hiyo Ni Natural phenomenon! Nimeumbwa Kwa akili inayojitegemea na sio akili za kukopi na ku-paste!
 
Mama inasemekana we ndo upi engeneer mauaji ya mwendazake. Kweli au siyo kweli?
 
Mtangulizi wake (hayati magufuli) aliukataa mkataba ya bandari ya bagamoy kwa kusema ni kicha pekee ndio angekubaliana na masharti yaliyomo katika mkataba huo. Leo tunaambiwa kuwa bandari ya bagamoyo itaanza kujengwa,

1) je, masharti hayo yamerekebishwa?

2) serikali iko tarari kuweka wazi mkataba huo kwa maslahi mapana ya taifa letu?
 
Kiplmo cha Dunia nzima kilichoanzishwa wapi na lini? Eleza jinsi Siku 100 zilivyo na uhusiano wa muelekeo wa Utawala au Uongozi! Kwa nini Siku 100 na sio Pungugu ya hapo au baada ya hapo? Kwa nini isiwe miaka 5 ya Kikatiba?
Rais Franklin Delano Roosevelt wa Marekani ndio mwanzilishi wa utaratibu wa siku 100 za mwanzo za rais. Wakati mwingine rais mwenyewe huwa anasema kuwa apewe siku 100 na ndani ya muda huo atakuwa keshafanya masuala fulani yaliyoandikwa kwenye ilani yake.

Wakati mwingine ni wachambuzi wa siasa na uchumi pamoja na jamii ya wasomi ndio huamua kufanya tathmini ya siku 100 na Rais mwenyewe anaweza wala asizipe kipaumbele hizo siku.

Sio utaratibu wa kimaandishi, ingawa upo kidunia.
 
Tuliambiwa Rais Mama samia ataongea na vijana ila mwishiwe tukaishia kuona anawahutubia tu vijana.
 
Back
Top Bottom