Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Labda CAG report.Kongamano linakwenda kujadili nini?
Kumuomba na kumshukuru Mungu kwa maisha ya Maghufuli kwa mujibu wa bandiko.Kongamano linakwenda kujadili nini?
Imani ziko tofauti. Sisi wakristo hatuamini kuwa mtu anaweza kumuombea mtu mwingine msamaha, kila nafsi itaomba msamaha peke yake. Kama hakuomba alipokuwa na pumzi, ndio imetoka.Hawa watu wanayajua makusudio ya Mungu kwa mja wake Magufuli?
Ni heri wangemuombea dua akasamehewa madhambi yake
Wakatoliki tunaamini Kanisa la wasafiri/linalosafiri hapa duniani linaweza kuwaombea Kanisa la ushindi/lililoshinda huko Mbinguni; and vice versa.Imani ziko tofauti. Sisi wakristo hatuamini kuwa mtu anaweza kumuombea mtu mwingine msamaha, kila nafsi itaomba msamaha peke yake. Kama hakuomba alipokuwa na pumzi, ndio imetoka.
Huu mwezi wa Ramadhan jamani!