Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma.

Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi

FB_IMG_16184896132157847.jpg
 
Imani ziko tofauti. Sisi wakristo hatuamini kuwa mtu anaweza kumuombea mtu mwingine msamaha, kila nafsi itaomba msamaha peke yake. Kama hakuomba alipokuwa na pumzi, ndio imetoka.
Wakatoliki tunaamini Kanisa la wasafiri/linalosafiri hapa duniani linaweza kuwaombea Kanisa la ushindi/lililoshinda huko Mbinguni; and vice versa.
 
Sasa picha ya Hayati Rais Magufuli ni ya nn wakati Kongamano ata host Mh. Rais Mama Samia Suruhu Hassan!!
 
Back
Top Bottom