Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

Sasa ukome kusema watanzania.
Sema Magufuli ataishi zaidi kwenye Moyo wako.
Mtanzania ni mimi ambaye Magufuli hawezi kuishi hata kwenye kope langu.
kwa akili yako finyu Tanzania upo peke yako!
 
Naona kwenye maandalizi ya hiyo shughuli ya jumapili Kuna mamilioni yanaenda kuteketea kwaajili ya mtu aliyeisababishia serikali hasara ya Billions of money
 
Ona sasa ndugu yangu. Kumuombea mtu rehema, siyo kumuombea mtu msamaha wa dhambi zake. Tunawaombea rehema roho zao zipate pumziko la milele. Hebu nifahamishe nyinyi wakristo wa RC ipi mnaowaombea msamaha waliokufa na mimi nilete majina.
 
Tokea atoke Uganda hasasikia kabisa

Hata afanye ziara tu au msemaji wa Serikali atuambia mkuu anafanya nini

Ni hayo tu

Maana J.P.M alikua kila siku lazima tusikie kitu.

Nawasilisha​



Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umesahau kuwa kati ya jpm na ma ma Samia wana tofauti kubwa sana?

Jpm ...Hii nchi yangu

Samia....Hii ni nchi yetu soote
 

Mkuu haya ya kuongea ongea ndiyo ukipotea kidogo yanakuwa ya mzee baba moja kwa moja.

Yanakuwa tena yale ya akina akina katelefoni na wenzao.

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…