Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
kwa akili yako finyu Tanzania upo peke yako!Sasa ukome kusema watanzania.
Sema Magufuli ataishi zaidi kwenye Moyo wako.
Mtanzania ni mimi ambaye Magufuli hawezi kuishi hata kwenye kope langu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa akili yako finyu Tanzania upo peke yako!Sasa ukome kusema watanzania.
Sema Magufuli ataishi zaidi kwenye Moyo wako.
Mtanzania ni mimi ambaye Magufuli hawezi kuishi hata kwenye kope langu.
Hii elimu ni pana sana kwa kiakili chako kidogo hicho.Mkatoliki wa wapi wewe? Yaani wewe uwaombee watakatifu?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Haipo hiyo mbona hawakumfanyia mkapa hivyoSoma tangazo mpaka mwisho kwa chini hapo KARIBU TUMSHUKURU MUNGU KWA MAISHA YA HAYATI MAGUFULI
Yaani nilivyoona hilo li pichala kwanza hata hamu ya kuzoma haipo tena na nirudii kusoma imenichefua sanaUngesoma lengo la Hilo kongamano
Hiyo picha ya juu ya nn ssKongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
Ona sasa ndugu yangu. Kumuombea mtu rehema, siyo kumuombea mtu msamaha wa dhambi zake. Tunawaombea rehema roho zao zipate pumziko la milele. Hebu nifahamishe nyinyi wakristo wa RC ipi mnaowaombea msamaha waliokufa na mimi nilete majina.Usijumuishe wakristo wote, ainisha dhehu lako. Cc wakatoliki huwa tunawaombea marehemu. Ila kama marehemu alikuwa na dhambi ya mauti eg kuuwa, kudhulumu watu fedha yao kama bureau de change, wafanya biashara, kuiba kura na mabaya mengine, hawezi kunufaika na maombi hayo. Badala yake Mungu huwarehemu wengine waliokuwa na dhambi ndogondogo
Kwani rais ni mtoa adhana?Tokea atoke Uganda hasasikia kabisa
Hata afanye ziara tu au msemaji wa Serikali atuambia mkuu anafanya nini...
Kwani rais ni mtoa adhana?
Mkuu umesahau kuwa kati ya jpm na ma ma Samia wana tofauti kubwa sana?Tokea atoke Uganda hasasikia kabisa
Hata afanye ziara tu au msemaji wa Serikali atuambia mkuu anafanya nini
Ni hayo tu
Maana J.P.M alikua kila siku lazima tusikie kitu.
NawasilishaView attachment 1753406
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Tokea atoke Uganda hasasikia kabisa

Sukuma gangMhe.Rais SSH yuko bize anachapa kazi! Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kazi inaendelea!
Tokea atoke Uganda hasasikia kabisa
Hata afanye ziara tu au msemaji wa Serikali atuambia mkuu anafanya nini
Ni hayo tu
Maana J.P.M alikua kila siku lazima tusikie kitu.
NawasilishaView attachment 1753406
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Mama yetu ana akili timamu, sio mgonjwa wa akili!Tokea atoke Uganda hasasikia kabisa