Rais Samia Suluhu Hassan usikubali kuyumbishwa

Hivi mchakato wa Bunge la Katiba ulivugikaje?
JK ndiye chanzo cha kuvurugika kwa lile Bunge la Katiba, kwa kuteua wanasiasa wengi kuingia kwenye lile Bunge (inawezekana kwa kufahamu au kwa kutofahamu).

Baada ya kujaza Wanasiasa wengi, kukaibuka yale makundi mawili! Ccm na UKAWA! Kilichotokea baada ya pale, kimebakia tu kuwa huzuni kwa wapenda mabadiliko! Vijembe, ubabe, ubinafsi na ujuaji vikatawala!

Ccm wakataka Serikali mbili, Ukawa wakaungana na mapendekezo ya wananchi kutaka serikali tatu!!

Anyway, inauma sana mpaka leo kuendelea kutumia Katiba ile ile ya 1977! Naungana na Chadema kuipigania Katiba Mpya!
 
Umenitukana bure,ukisoma vizuri ujumbe wangu nitake radhi.(alisema Mimi Rais sikosei)
Kabugula ndugu yangu,
Samahani sana kaka!! Nilikuwa sijasoma between the lines nkafikiri ni wale wale Mahafidhina wanamtetea mama kwa upuuzi wao!
Uko sahihi kabisa kwamba CCM na M/kiti wao siku zote wako sahihi ila Wapinzani na Watz wanaowakosoa ndo wanakosea!! What a nonsensical idea?
 
Taarifa kwa Rais juu ya mambo mabaya na machafu kwa taifa letu inatosha kwa mama kukaza,hata wewe mleta mada ukiletewa ushahidi wa kuleta athari kwako kama Rais na nchi yako hauwezi kukubali kamwe.
 
Maza bana, dk ya 25 tu ulimi nje...poo kwa mapolice!!
Mapolice wa Tanzania ndo MAGAIDI WAKUBWA halafu wana wasingizia Wapinzani kama Mhe. Mbowe @ ndo Magaidi!!! Pambaf kabsaa!
Wao Mapolice a.k.a Wasojulikana do walopanga kumwua Tundu Lissu, hawahawa ndo waliowapoteza Ben Saanane na Axory Gwanda! Yumkini mpaka leo hawajakamata hata NZI tu wa kumsingizia kwa matukio haya..!!
Huyu IGP ZERO haijambui na hajielewi. But one day he gonna pay the Big Price. Malipo ni hapahapa duniani!
 
Taarifa kwa Rais juu ya mambo mabaya na machafu kwa taifa letu inatosha kwa mama kukaza,hata wewe mleta mada ukiletewa ushahidi wa kuleta athari kwako kama Rais na nchi yako hauwezi kukubali kamwe.
Wewe ndo mmoja wa Mahafidhina wa CCM wanafiki wakubwa kabisa. Nyie endeleeni na ubabe wenu tu lakini Mungu yupo na hakopeshi. Kama hamjajifunza kwa Mwenda zake subirini tu bakora ya Mungu!!!
Hivi Mhe. Mbowe alihusikanaje na kifo cha Mwendazake??? Huu uzushi meingine muwe mnajitafakari !!!
 
Hivi mchakato wa Bunge la Katiba ulivugikaje?
Bunge la Katiba lilikuwa chini ya Uongozii wa Mwenyekit8i iiiiii
Why kikundi cha wanaCDM wachache ndiyo wanakomaa na hiyo katiba bila uungaji mkono kutoka makundi mengine ya jamii?
Unataka kutetea nini ewe bwege usiyejitambua?
Katiba ni Mali ya Watz siyo ya CDM wala CCM wala mtu away yote!!!
Mahafidhina wa CCM acheni kuwayumbisha Watz tafadhalini sana!
Hivi mnajua kuna KATIBA PENDEKEZWA ambayo CCM mmeikatalia na kuifungia kwene makabati yenu inakula vumbi??
Hivi enyi Mahafidhina mnajua kwamba Nchi ilitumia takribani Bilioni 270 kodi za Watz? Kwa ujinga na ulevi tu wa Madaraka mkazuia mchakato kwa Tamaa zenyu kwa maana mlijua na mnajua kabisa KATIBA MPYA ikianza kutumika ndiyo KIFO CHA CCM!!!
 
Hivi mchakato wa Bunge la Katiba ulivugikaje?
Mama Samia Suluhu Hassan alikuwa MAKAMU MWENYEKITI WA BMK(Bunge Maalumu la Katiba). Leo ni Rais anadai hataki kusikia habari ya Katiba Mpya!! Kwa kweli ukishangaa ya Mussa utaona ya Mafirauni.
HAKIKA CCM NI JINAMIZI LA TANZANIA. Nchi hii haitakaa ifikie DEMOKRASIA YA KWELI MPAKA HILI DUBWASHA LIWE LIMETOKOMEZWA!!!
 
Anajiyumbisha mwenyewe na ujinga wake wa kujipaka ma lips stick kila mara
 
Kulikuwa na watu wengi walikuwa na shaka na SSH tena wengi kutoka ccm sasa wameongezeka kutoka upinzani. Nashauri achukue hatua kuhusu hili.
 
Kwa kiwango gani ndipo tujue umejengek. Ni kwa muda gani
 
Aisee Mama amekwama tena
 
Ndio maana wewe ni Machinga pale Mbagala
 
Hahaha, waliosusia katiba si ndio hao wapinzani wenu uchwara ambao wengine leo hii mnawaita wasaliti (Mbowe, Lipumba, Mbatia=UKAWA), kilaza mkubwa
 
Why kikundi cha wanaCDM wachache ndiyo wanakomaa na hiyo katiba bila uungaji mkono kutoka makundi mengine ya jamii?
katiba inaweza kuhitajika.lakn sio priority ya watz.

Narudia tena sio kipaumbele chao.

kipaumbele maana yake ni lile hitaji lisilohtaji kusubr.ni la lazima.

Afya, maji, elimu nk ndio vpaumbele.

Hata hyo katiba inayodaiwa..content yao au focus yao..ni masuala ya uchaguzi tu.
 
Chadema wanakosea sana kudai katiba ya Warioba tu ili hali kuna mapendekezo ya katiba ya Bunge la Katiba. Wawe strategic kwa kudai katiba mpya itakayounganisha maudhui ya rasimu ya warioba na ile pendekezwa hapo wataeleweka kwa vile zote zina uhalali wa kisheria
 
Acha porojo zako. Hakuna Katiba ya Warioba brother! Tulicho nacho ni KATIBA PENDEKEZWA iliyotokana na BMK chinj ya Usimamizi wa Hayati Samwel Sitta kama M/Kiti na Mama Samia Suluhu kama M/Mkiti!.
 
Usiwasemehe watz, kama siyo hitaji basi ni kwa upande/mtazamo wako. Na siyo kila mtu yuko timamu upstairs so jiangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…