Rais Samia Suluhu Hassan usikubali kuyumbishwa

Rais Samia Suluhu Hassan usikubali kuyumbishwa

Why kikundi cha wanaCDM wachache ndiyo wanakomaa na hiyo katiba bila uungaji mkono kutoka makundi mengine ya jamii?
Unata kujiaminisha kwamba lile Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 lilikuwa kusanyiko la Chadema? Tumia akili badala ya makamasi wewe.
 
Hivi mchakato wa Bunge la Katiba ulivugikaje?
Tume ya Jaji Warioba ilitembea Tanzania nzima kupata maoni ya Watanzania juu Katiba wanayoitaka,lakini kikundi kidogo cha wanaccm wasiozidi 400 kikachakachua maoni ya Watanzania milioni 50 kwa uchu wao wa kutaka kuendelea kutawala. Ni CCM waliovuruga huu mchakato.
 
Back
Top Bottom