Tume ya Jaji Warioba ilitembea Tanzania nzima kupata maoni ya Watanzania juu Katiba wanayoitaka,lakini kikundi kidogo cha wanaccm wasiozidi 400 kikachakachua maoni ya Watanzania milioni 50 kwa uchu wao wa kutaka kuendelea kutawala. Ni CCM waliovuruga huu mchakato.