kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Nimefuatilia sehemu Mbalimbali yanapopatikana madini ya historia ya Mhe. RAIS, sijapata sehemu amewahi kugombea akapigiwa kura na kushinda. Naomba anayejua kama amewahi kushinda Uchaguzi atushirikishe.
Kama ajawahi kushinda, Je wapo Marais wengine walioingia madarakani kidemokrasia ambao hakuna historia Yao yakushinda Uchaguzi Kwenye maisha Yao? Kama Wapo situation yakuingia kwao madarakani ilikuwaje?