Rais Samia Suluhu Hassani amewahi kugombea katika nafasi ya kisiasa akafanikiwa kushinda?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Nimefuatilia sehemu Mbalimbali yanapopatikana madini ya historia ya Mhe. RAIS, sijapata sehemu amewahi kugombea akapigiwa kura na kushinda. Naomba anayejua kama amewahi kushinda Uchaguzi atushirikishe.

Kama ajawahi kushinda, Je wapo Marais wengine walioingia madarakani kidemokrasia ambao hakuna historia Yao yakushinda Uchaguzi Kwenye maisha Yao? Kama Wapo situation yakuingia kwao madarakani ilikuwaje?
 
Donald Trump kabla ya urais sio tu kwamba hakuwahi kugombea chochote ila pia hakuwahi kuwa mwanasiasa! Sometimes situations za aina hiyo zinatokeaga.
 
Donald Trump kabla ya urais sio tu kwamba hakuwahi kugombea chochote ila pia hakuwahi kuwa mwanasiasa! Sometimes situations za aina hiyo zinatokeaga.

Huwa ni upopoyo kulinganisha Mambo ya Marekani na Tanzania. Tafadhali tafuta mifano mingine kama ya Malawi hivi na the likes.
 
Huyu aliwahi kugombea ubunge huko Zanzibar , bali aliangukia pua bila huruma lakini amekuwa mtu wa kubebwa bebwa tu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Amegombea uenyekiti wa CCM na kushinda asilimia [emoji817]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…