Rais Samia Suluhu keshapasua jipu tayari huko“ Sote tumejua CCM ni kama fisi tu wanakulana wao wao”

Mama nae kutangaza ugomvi mapema hii kakosea sana ila ndio kawaida ya wana CCM wengi ni ndumilakuwili wanaenda na upepo usijeshangaa hawa ambao wako na mama kwa sasa 2025 wanamkana mchana kweupe..
Mama Hajui midundo anayocheza nayo sahivi anahisi anacheza pop ikichanganyia atajikuta anacheza kisingeli
 
Mama Hajui midundo anayocheza nayo sahivi anahisi anacheza pop ikichanganyia atajikuta anacheza kisingeli
Amewahi kujiamini sana kitu ambacho kitamtesa hata kama yeye ndio mwenye serikali kuna watu wana mzoom wanamcheka tu. JPM na umwamba wake ule wote ila bado kuna wahuni walikuwa wanamsumbua sembuse Mama
 
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…