for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,397
- 4,436
Mama Hajui midundo anayocheza nayo sahivi anahisi anacheza pop ikichanganyia atajikuta anacheza kisingeliMama nae kutangaza ugomvi mapema hii kakosea sana ila ndio kawaida ya wana CCM wengi ni ndumilakuwili wanaenda na upepo usijeshangaa hawa ambao wako na mama kwa sasa 2025 wanamkana mchana kweupe..