Rais Samia Suluhu keshapasua jipu tayari huko“ Sote tumejua CCM ni kama fisi tu wanakulana wao wao”

Rais Samia Suluhu keshapasua jipu tayari huko“ Sote tumejua CCM ni kama fisi tu wanakulana wao wao”

Mama nae kutangaza ugomvi mapema hii kakosea sana ila ndio kawaida ya wana CCM wengi ni ndumilakuwili wanaenda na upepo usijeshangaa hawa ambao wako na mama kwa sasa 2025 wanamkana mchana kweupe..
Mama Hajui midundo anayocheza nayo sahivi anahisi anacheza pop ikichanganyia atajikuta anacheza kisingeli
 
Mama Hajui midundo anayocheza nayo sahivi anahisi anacheza pop ikichanganyia atajikuta anacheza kisingeli
Amewahi kujiamini sana kitu ambacho kitamtesa hata kama yeye ndio mwenye serikali kuna watu wana mzoom wanamcheka tu. JPM na umwamba wake ule wote ila bado kuna wahuni walikuwa wanamsumbua sembuse Mama
 
Ningepata nafasi ya kumshauri mama samia suluhu hassani..ningemshauri awatimue wasukuma wote walioko ngazi za juu za uongozi serikalini...hawa ndio wanaomfanya mama anakosa amani ya kuiongoza nchi yetu...kwani magufuri ni nani kwenye nchi hii?..WHO IS MAGUFURI BY THE WAY!....MAMA FUKUZA WASUKUMA PANGA SAFU MPYA YA UONGOZI ....TUPO TUNAOMKUBALI SANA MAMA HATA TUNGELALA NJAA SISI TUNAMPENDA HIVYO HIVYO....
Exactly
 
Back
Top Bottom