Mheshimiwa Raisi Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
bora kasema maana huyo waziri wa feza anaweza kuagiza wafanyabiashara wanaodaiwa kodi wamwagiwe tindikali.
Sisi wananchi wenyewe kulipa kodi bila kusukumwa ni mtihani!! Ukisema leo waje kwa kulemba kwenye kodi aaah hawapati ata bilion 1 kwa mwezi. Wakwepa kodi wengi wanajua kama wanakwepa kodi na wanafanya hivo ili faida ipige maradufu.Mheshimiwa Raisi Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
Anaweza hata kuwabambikia kesi za ugaidi yule!! Hana maana kabisa yule jamaa! Namkumbuka sana namna alivyo husishwa kwenye ile kesi ya ugaidi ya kutengeneza iliyomhusu Wlifred Lwakatare.bora kasema maana huyo waziri wa feza anaweza kuagiza wafanyabiashara wanaodaiwa kodi wamwagiwe tindikali.
Kweli...Sisi wananchi wenyewe kulipa kodi bila kusukumwa ni mtihani!! Ukisema leo waje kwa kulemba kwenye kodi aaah hawapati ata bilion 1 kwa mwezi. Wakwepa kodi wengi wanajua kama wanakwepa kodi na wanafanya hivo ili faida ipige maradufu.
Benki zimekwapuliwa sana pesa za watu kwa nguvu Kama jambazi tu nchi ilikuwa kwenye mpasuko mkubwa sana hiiMama amenikosha sana.
Kumbe walikuwa wanatumia mabavu hadi kukwapua hela za watu kwenye account zao za benki.
Kama analoongea ndo alilokusudia kulisimamia basi sekta hii ya biashara na uwekezaji itaanza kustawi tena.