idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
- Thread starter
- #41
Bila shaka atakuwa amefanya vyema kabisa.Mama amenikosha sana.
Kumbe walikuwa wanatumia mabavu hadi kukwapua hela za watu kwenye account zao za benki.
Kama analoongea ndo alilokusudia kulisimamia basi sekta hii ya biashara na uwekezaji itaanza kustawi tena.