Rais Samia Suluhu: Kusanyeni kodi kwa kutumia akili, sio nguvu

Rais Samia Suluhu: Kusanyeni kodi kwa kutumia akili, sio nguvu

Walikua majambazi wanaotumia sheria na siraha zetu kuiba daah bora umewaambia ukweli waache kabisa huo ujinga wao hao...
 
Hongera kwa kuliona hilo mh Rais.
Pamojanna kulisemea hili, kuanhitajika mkakati wa makusudinkurejesha halinya baishara na kupunguza tatizo la kodi. Tatizo moja wapo ni kwamba kuwapa tiaaraeii malengo makubwa kuliko uwezo wa wafanya biashara inawanfanya wao kujiongeza kwa mbinu hizo zisizo rafiki ili wafikie lengo.
Kwa mazingira ya sasa ya kibiashara kodi ya 2tr kwa mwezi ni ngumu sana kuifikia kwasababu biashara nyingi zimefungwa au kufa. Pia kuna suala la C19 limeathiri sekta nyingi sana.
Tunaomba hatua za makusudi za kuboresha mfumo wa mazingira ya biashara kwanza ndio malengo ya kodi yaongezwe.

Tusiue malengo ya mda mrefu kwa malengo ya muda mfupi, tujipe muda kurejesha imani kwa wawekezaji na kuweka mfumo rafiki wa biashara
 
Ule unyang’anyi na uharamia wa kuchota pesa kutoka kwenye account za watu Mama kumbe alikuwa hapendi ila basi tu. Atafanyake wakati kamanda alikuwa anaingia front mwenyewe - one man show?

Mtu unaitwa Bank unaambiwa kati ya hizi 4B, tunachukua 3 na unabaki na 1. #Extortion!
 
Wewe unafanya biashara gani.?unataka kusema Rais anachoongea ni uongo ila wewe Koti la chawa ndy unajua Ukweli? Wengi wenye kuishi kwa vikazi vya wajomba huona mfanyabiashara kama adui...
Pumbafu weee ebu lipa kodi stahiki kima wee, hakuna janja janja hapa au mnataka mturudishe enzi za mkwere??
 
Hii ni kauli ya kutokujua,,watu wanakwepa kodi kila siku K'koo,vitu vya laki mbili unapewa risiti ya 65000..usipotumia nguvu,tutakula nyasi humu ndani.
alietumia nguvu huendakuwa kakusanya vizuri, ila kaua zaid biashara.
mama anachotaka makusanyo yawepo, lakin wasifukuze biashara.
 
Kwakweli rais awaambie tuu...... TRA, BRELA, TIC, HALMASHAURI ni majipu, watumie akili na waache kuhujumu juhudi za serikali na wawekezaji
mama D hapo ulipogusia ni pazuri. haswa BRELA. hawa jamaa nao ni jipu la muda mrefu
 
Mama kama mama, Watanzania tufanye kazi tulipe kodi, na tuwe proud kulipa kodi.
 
Kweli...

Ndio maana TRA wakiwa around na center flani..kila mtu Nduki.

Kuna mambo ukibembeleza bembeleza hayaendi kamwe!
Mimi mwenyewe nipo kariakoo naonaga ayo.. wakija TRA kila mtu anaegesha fremu yake anasepa
 
Mama yetu amesema sasa tuombe Mungu walioelezwa wawe na akili sasa
 
Back
Top Bottom