The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............
Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na mgombea Urais ktk uchaguzi mkuu wa 2020) ni mwanamume. Alizaliwa tarehe 20/1/1968. Umri wake kwa Sasa ni miaka 56...........
Tofauti yao kiumri kati ya Bi. Samia Suluhu Hassan na Tundu Lissu ni miaka 8 kwa maana kuwa Samia Suluhu Hassan ni mkubwa kiumri kwa TL kwa miaka 8 tu...........
Juzi akiwa kwao Zanzibar, kamwita Tundu Lissu "mwanangu". Sijui kwa kutumia kigezo kipi. Je, kwa kigezo kuwa "kila mwanamke ni mama...?"
Lakini kama ametumia kigezo cha Umri, hapo atakuwa amechemka vibaya. Kwa vyovyote and by default hawezi kumzaa Tundu Lissu ktk Umri wake wa miaka 8........!!
Nadhani there's something wrong with this mama. Binafsi, naitazama na kuitafsiri hii "joke" ya huyu mama dhidi ya TL in a very serious note.....
Bila shaka, Tundu Lissu keshamshanganya kiasi cha yeye na kambi yake huko ikiongozwa na Lucas Mwashambwa kwa mbali akisaidiwa na Tlaatlaah kukabiliwa na tatizo sugu linalojulikana kwa lugha ya malkia wa Uingereza kama "tunduphobia syndrome.........!!"
Hakika kabisa huyu mama kumwita mwanamume aliye karibu kwa 99% kulingana naye kiumri "Mwanangu" ni kupitiwa na kuchanganyikiwa kwa kiwango cha juu sana.......!
Siku zote amekuwa akim - address kama "mdogo wangu". Wewe unafikiri juzi ikawaje aanze kumwita "mwanangu.....???"