Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, you omitted something; she married at 18 yrs of age, Tundu was 10 yrs. That is how she remembers. A kid at 10 can call an 18 married mother in her calculations. Got it?Mwanamke ni mama....
Kwa heshima ya ulezi wa akina mama sishangai kumsikia mwanamama akimuita mwanaume aliyemzidi umri kuwa ni MTOTO WAKE....
Hili hutolisikia nchi za ulaya bali kwetu waafrika na mila zetu za heshima za kuutukuza UMAMA NA UBABA.....
Hakika chifu Hangaya ni mama wa wengi ,kiumri ,kimadaraka na kimamlaka......[emoji7][emoji7]
#Ewe Mwenyezi Mungu tutunzie mja wako Rais Samia Suluhu Hassan ,aaamin aaaamin[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mwanangu mwenyewe punguza nongwa basi.Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............
View attachment 3079238
Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na mgombea Urais ktk uchaguzi mkuu wa 2020) ni mwanamume. Alizaliwa tarehe 20/1/1968. Umri wake kwa Sasa ni miaka 56...........
View attachment 3079239
Tofauti yao kiumri kati ya Bi. Samia Suluhu Hassan na Tundu Lissu ni miaka 8 kwa maana kuwa Samia Suluhu Hassan ni mkubwa kiumri kwa TL kwa miaka 8 tu...........
Juzi akiwa kwao Zanzibar, kamwita Tundu Lissu "mwanangu". Sijui kwa kutumia kigezo kipi. Je, kwa kigezo kuwa "kila mwanamke ni mama...?"
Lakini kama ametumia kigezo cha Umri, hapo atakuwa amechemka vibaya. Kwa vyovyote and by default hawezi kumzaa Tundu Lissu ktk Umri wake wa miaka 8........!!
Nadhani there's something wrong with this mama. Binafsi, naitazama na kuitafsiri hii "joke" ya huyu mama dhidi ya TL in a very serious note.....
Bila shaka, Tundu Lissu keshamshanganya kiasi cha yeye na kambi yake huko ikiongozwa na Lucas Mwashambwa kwa mbali akisaidiwa na Tlaatlaah kukabiliwa na tatizo sugu linalojulikana kwa lugha ya malkia wa Uingereza kama "tunduphobia syndrome.........!!"
Hakika kabisa huyu mama kumwita mwanamume aliye karibu kwa 99% kulingana naye kiumri "Mwanangu" ni kupitiwa na kuchanganyikiwa kwa kiwango cha juu sana.......!
Siku zote amekuwa akim - address kama "mdogo wangu". Wewe unafikiri juzi ikawaje aanze kumwita "mwanangu.....???"
Siyo Watanzania ni baadhi ya wajinga wachache.Watanzania bhana mnatamani rais wa Nchi awe na visa na wapinzani ndio raha yenu kumtaja tu Tundu Lissu ni mwanangu mnaumia mbaya daah na yule ni Rais wa Nchi..
mwanangu means mshikaji huku Buza 😃Alafu mbona TAL hasononeki?alipopigwa risasi yeye alienda kumwona Nairobi,bila ya kujali kilichowapata Nyalandu,na akaenda Ubeljiji,Nampenda mpaka basi siasa za huu mama,natamani nami aniite Mwanangu,yaani utanzania wetu hauwezi kamwe kuuwawa na vyama vya siasa..
Watanzania wengi wamedumaa ndio maana Nchi inaendeshwa wanavyotaka..Siyo Watanzania ni baadhi ya wajinga wachache.
Aina hii ya watu hawezi kumtambulisha dada yake kama dada kwakuwa kamzidi umri atakutambulisha huyu ni mdogo wangu, kumbe mwanamke hata ukimpita umri kwa kuzaliwa ni dada and na kinyume chake.
[emoji7][emoji7]Mama Samia Suluhu Hassan ni Mama wa Taifa kwa cheo chake, yeye ni Mama wa watanzania wote Lissu akiwa mmoja wao.
Unajua mkishaanza kutuita mama huwa tunawaona nyie ni watoto hata kama tumelingana,enyi wanaume msiwaite wake zenu mama au watu ambao mnalingana umri au mmekaribiana,wataanza kubehave as one ikiwezekana hata kuwacommandBi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............
View attachment 3079238
Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na mgombea Urais ktk uchaguzi mkuu wa 2020) ni mwanamume. Alizaliwa tarehe 20/1/1968. Umri wake kwa Sasa ni miaka 56...........
View attachment 3079239
Tofauti yao kiumri kati ya Bi. Samia Suluhu Hassan na Tundu Lissu ni miaka 8 kwa maana kuwa Samia Suluhu Hassan ni mkubwa kiumri kwa TL kwa miaka 8 tu...........
Juzi akiwa kwao Zanzibar, kamwita Tundu Lissu "mwanangu". Sijui kwa kutumia kigezo kipi. Je, kwa kigezo kuwa "kila mwanamke ni mama...?"
Lakini kama ametumia kigezo cha Umri, hapo atakuwa amechemka vibaya. Kwa vyovyote and by default hawezi kumzaa Tundu Lissu ktk Umri wake wa miaka 8........!!
Nadhani there's something wrong with this mama. Binafsi, naitazama na kuitafsiri hii "joke" ya huyu mama dhidi ya TL in a very serious note.....
Bila shaka, Tundu Lissu keshamshanganya kiasi cha yeye na kambi yake huko ikiongozwa na Lucas Mwashambwa kwa mbali akisaidiwa na Tlaatlaah kukabiliwa na tatizo sugu linalojulikana kwa lugha ya malkia wa Uingereza kama "tunduphobia syndrome.........!!"
Hakika kabisa huyu mama kumwita mwanamume aliye karibu kwa 99% kulingana naye kiumri "Mwanangu" ni kupitiwa na kuchanganyikiwa kwa kiwango cha juu sana.......!
Siku zote amekuwa akim - address kama "mdogo wangu". Wewe unafikiri juzi ikawaje aanze kumwita "mwanangu.....???"
Yaan hata mimi nilishangaa sanaAisee Mama Anaweweseka na huyu mtu.
Juzi kawaambia wahifahi wanyama wamwite Simba Tundu Lisu😂😂