econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kiongozi ni baba/mama
Acha uongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi ni baba/mama
Umekuwa msahafu wa elimu duniani ?!! [emoji44][emoji44][emoji1787]Kama huelewi Jambo uliza.
...hajamaliza majina....Atamuita majina yote. Simba, mwanangu etc.
Wewe wasema...Akina Mkunazi Njiwa hata hawaelewi haya......
Huyu bibie tayari hofu ya kike imeshaanza kumsumbua.........
Huyu mwanamke hakustahili na hapaswi kustahili kupewa jukumu hili la kuongoza nchi. She's absolutely unfit......!
[emoji1787][emoji7][emoji7]Anaweza kuwa mamdogo, na mamdogo ni mama
Kwasababu kwamujibu wa bitabu vitakatifu vya munyaazi Mungu unaruhusiwa kuoa binti wa miaka 9 akifikisha miaka 12 anazaa kabisa .Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............
View attachment 3079238
Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na mgombea Urais ktk uchaguzi mkuu wa 2020) ni mwanamume. Alizaliwa tarehe 20/1/1968. Umri wake kwa Sasa ni miaka 56...........
View attachment 3079239
Tofauti yao kiumri kati ya Bi. Samia Suluhu Hassan na Tundu Lissu ni miaka 8 kwa maana kuwa Samia Suluhu Hassan ni mkubwa kiumri kwa TL kwa miaka 8 tu...........
Juzi akiwa kwao Zanzibar, kamwita Tundu Lissu "mwanangu". Sijui kwa kutumia kigezo kipi. Je, kwa kigezo kuwa "kila mwanamke ni mama...?"
Lakini kama ametumia kigezo cha Umri, hapo atakuwa amechemka vibaya. Kwa vyovyote and by default hawezi kumzaa Tundu Lissu ktk Umri wake wa miaka 8........!!
Nadhani there's something wrong with this mama. Binafsi, naitazama na kuitafsiri hii "joke" ya huyu mama dhidi ya TL in a very serious note.....
Bila shaka, Tundu Lissu keshamshanganya kiasi cha yeye na kambi yake huko ikiongozwa na Lucas Mwashambwa kwa mbali akisaidiwa na Tlaatlaah kukabiliwa na tatizo sugu linalojulikana kwa lugha ya malkia wa Uingereza kama "tunduphobia syndrome.........!!"
Hakika kabisa huyu mama kumwita mwanamume aliye karibu kwa 99% kulingana naye kiumri "Mwanangu" ni kupitiwa na kuchanganyikiwa kwa kiwango cha juu sana.......!
Siku zote amekuwa akim - address kama "mdogo wangu". Wewe unafikiri juzi ikawaje aanze kumwita "mwanangu.....???"
Kwa heshima.Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............

Mbona nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu? Au ndo umeamua kuni-prove wrong?Mimi naitazama na kuitafsiri hiyo joke with a very serious note hasahasa ukitazama na kuzingatia yanayoendelea sasa ktk nchi yetu.......
Wewe nenda kalime pareto huko...........
Lakini sisi pamoja na hayo, bado macho yetu na akili na ufahamu wetu na udadisi wetu kufuatilia na kuchunguza kila jambo uko upright......
Hata hivyo, Asante kwa maoni na mtazamo wako maana na wewe ndivyo ulivyo......!!
Nani kama mama.....Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............
View attachment 3079238
Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na mgombea Urais ktk uchaguzi mkuu wa 2020) ni mwanamume. Alizaliwa tarehe 20/1/1968. Umri wake kwa Sasa ni miaka 56...........
View attachment 3079239
Tofauti yao kiumri kati ya Bi. Samia Suluhu Hassan na Tundu Lissu ni miaka 8 kwa maana kuwa Samia Suluhu Hassan ni mkubwa kiumri kwa TL kwa miaka 8 tu...........
Juzi akiwa kwao Zanzibar, kamwita Tundu Lissu "mwanangu". Sijui kwa kutumia kigezo kipi. Je, kwa kigezo kuwa "kila mwanamke ni mama...?"
Lakini kama ametumia kigezo cha Umri, hapo atakuwa amechemka vibaya. Kwa vyovyote and by default hawezi kumzaa Tundu Lissu ktk Umri wake wa miaka 8........!!
Nadhani there's something wrong with this mama. Binafsi, naitazama na kuitafsiri hii "joke" ya huyu mama dhidi ya TL in a very serious note.....
Bila shaka, Tundu Lissu keshamshanganya kiasi cha yeye na kambi yake huko ikiongozwa na Lucas Mwashambwa kwa mbali akisaidiwa na Tlaatlaah kukabiliwa na tatizo sugu linalojulikana kwa lugha ya malkia wa Uingereza kama "tunduphobia syndrome.........!!"
Hakika kabisa huyu mama kumwita mwanamume aliye karibu kwa 99% kulingana naye kiumri "Mwanangu" ni kupitiwa na kuchanganyikiwa kwa kiwango cha juu sana.......!
Siku zote amekuwa akim - address kama "mdogo wangu". Wewe unafikiri juzi ikawaje aanze kumwita "mwanangu.....???"
Ni kukosa agenda au nini? Vijana wanavyoitana kiongozi, mwana, mkuu huwa ndo iko hivyo? Acheni upuuzi. Ongeleeni hata kilimo cha pareto au alizeti Singida.
Vijana ni wahuni sasa unataka ku apply sheria hiyo hadi kwa Raisi?Ni kukosa agenda au nini? Vijana wanavyoitana kiongozi, mwana, mkuu huwa ndo iko hivyo? Acheni upuuzi. Ongeleeni hata kilimo cha pareto au alizeti Singida.
Sio kukosa agenda. Wangekutata simba akiwa 20 chura angeweza kujazwa.Ni kukosa agenda au nini? Vijana wanavyoitana kiongozi, mwana, mkuu huwa ndo iko hivyo? Acheni upuuzi. Ongeleeni hata kilimo cha pareto au alizeti Singida.
Shh, mengine yaache yapite si kila jambo ni la kuhoji vinginevyo utakuja gombana na mama yako, baba ni baba tu na mtoto ni mtoto tu.Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............