Rais Samia Suluhu, Kuzaliwa 20/1/20/1960 [64], Tundu Lissu, kuzaliwa 21/1/1968 [56]. Kwa takwimu hizi ni kwa vipi Lissu anaweza kuwa “mtoto wa Samia”?

Chukulia kwa serious tone hiyo hiyo Mkuu, ila usiwaze kama ni ana haha juu yake bali waza anamuonea huruma na haina budi kwa TL ama kuwa makini zaidi au kufanya jambo fulani.

Kuna wakatu ujumbe unatolewa kwa njia za ajabu sana ni kiasi cha mlengwa kuweza kugundua ujumbe ndani ya ujumbe.

Naamini hata ukifuatilia mambo yaliyotokea siku chache kabla ya lile tukio la hovyo utakuta ujumbe ndani ya ujumbe uliopuuziwa au kutokubainika wazi.

Same hata kwako, kuna jumbe unapewa kila siku ila ni hauzingatii tu mazingira yaliyokuzunguka hivyo inakuwa ngumu kugundua.

Mtoto kautaaa....mtoto kautakaa!!
 
Akina Mkunazi Njiwa hata hawaelewi haya......

Huyu bibie tayari hofu ya kike imeshaanza kumsumbua.........

Huyu mwanamke hakustahili na hapaswi kustahili kupewa jukumu hili la kuongoza nchi. She's absolutely unfit......!
Wewe wasema...

Ni vetting iliyomfanya awepo hapo na wala si mawazo yako ya "negativities"...

Ni katiba yetu...msahafu mtakatifu zaidi kwa dola letu tukufu Tanzania....

She is fit as a sitting president for her fellow countrymen [emoji7]

May Adonai Yehovah Shamah bless her exquisitely ,amen amen[emoji7]

#Nchi kwanza na Samia[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu kwamujibu wa bitabu vitakatifu vya munyaazi Mungu unaruhusiwa kuoa binti wa miaka 9 akifikisha miaka 12 anazaa kabisa .
 
Kwa heshima.

Ova
 
Mbona nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu? Au ndo umeamua kuni-prove wrong?
 
Nani kama mama.....

Wanawake bwana
 
Kwani we unamuita mama si anaweza kuwa bibi ako.
 
Ni kukosa agenda au nini? Vijana wanavyoitana kiongozi, mwana, mkuu huwa ndo iko hivyo? Acheni upuuzi. Ongeleeni hata kilimo cha pareto au alizeti Singida.
Vijana ni wahuni sasa unataka ku apply sheria hiyo hadi kwa Raisi?
 
Ni kukosa agenda au nini? Vijana wanavyoitana kiongozi, mwana, mkuu huwa ndo iko hivyo? Acheni upuuzi. Ongeleeni hata kilimo cha pareto au alizeti Singida.
Sio kukosa agenda. Wangekutata simba akiwa 20 chura angeweza kujazwa.
 
Refer Muhamad alichomfanyia Aisha ndio ujue kule kizimkazi miaka 8 kinapigwa pipe na kinazaa vizuri so ni mama yake kweli
 
Wewe umezaliwa 78 ila unamuita demu wako WA 2004 mama...... Kwann vijana mnakula na ajenda dhaifu hivi aseeee
 
Shh, mengine yaache yapite si kila jambo ni la kuhoji vinginevyo utakuja gombana na mama yako, baba ni baba tu na mtoto ni mtoto tu.
 
Tatizo hapo ni kuwa rais wa Tanzania Huwa anajiona wtz wote ni wadogo na anawazidi akili kulingana na katiba mbovu ambaye amempa madaraka makubwa ya kuweza kufanya chochote ikiwemo ya kuwaona watanzania wote anawazidi umri na kuwaita watoto wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…