Rais Samia Suluhu, Kuzaliwa 20/1/20/1960 [64], Tundu Lissu, kuzaliwa 21/1/1968 [56]. Kwa takwimu hizi ni kwa vipi Lissu anaweza kuwa “mtoto wa Samia”?

No, you omitted something; she married at 18 yrs of age, Tundu was 10 yrs. That is how she remembers. A kid at 10 can call an 18 married mother in her calculations. Got it?
 
Mwanamke yeyote mwenye cheo au mamlaka ni mama by the late MWINYI sr.

Ingawa UVCCM wanataka kuharibu muktadha mzima wa hilo,na kujiweka alipo abdul na dada yake wanu.
 
Watanzania bhana mnatamani rais wa Nchi awe na visa na wapinzani ndio raha yenu kumtaja tu Tundu Lissu ni mwanangu mnaumia mbaya daah na yule ni Rais wa Nchi..
 
Ni mwanangu au mshikaji au shosti au yaani ni hivyoo
 
Mwanangu mwenyewe punguza nongwa basi.
 
Watanzania bhana mnatamani rais wa Nchi awe na visa na wapinzani ndio raha yenu kumtaja tu Tundu Lissu ni mwanangu mnaumia mbaya daah na yule ni Rais wa Nchi..
Siyo Watanzania ni baadhi ya wajinga wachache.

Aina hii ya watu hawezi kumtambulisha dada yake kama dada kwakuwa kamzidi umri atakutambulisha huyu ni mdogo wangu, kumbe mwanamke hata ukimpita umri kwa kuzaliwa ni dada and na kinyume chake.
 
Mama Samia Suluhu Hassan ni Mama wa Taifa kwa cheo chake, yeye ni Mama wa watanzania wote Lissu akiwa mmoja wao.
 
Siyo Watanzania ni baadhi ya wajinga wachache.

Aina hii ya watu hawezi kumtambulisha dada yake kama dada kwakuwa kamzidi umri atakutambulisha huyu ni mdogo wangu, kumbe mwanamke hata ukimpita umri kwa kuzaliwa ni dada and na kinyume chake.
Watanzania wengi wamedumaa ndio maana Nchi inaendeshwa wanavyotaka..
 
Huko CCM kabudi na lukuvi ni kaka zake makonda wa karibu kabisa
 
Lissu anastahili kabisa kuitwa mtoto kwa sababu kuna mengi sana anayotakiwa kufundishwa na Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
 
Kwanini MUNGU hatumuiti babu au mpaka leo hajafikisha miaka 100? siyo wote wanaomuita Rais mama kuwa ni watoto wake, unapokuwa kiongozi tayari unawaongoza wote ni watoto wako hata kama wanakuzidi umri.
 
Unajua mkishaanza kutuita mama huwa tunawaona nyie ni watoto hata kama tumelingana,enyi wanaume msiwaite wake zenu mama au watu ambao mnalingana umri au mmekaribiana,wataanza kubehave as one ikiwezekana hata kuwacommand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…