MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,104 Reaction score 6,827 Aug 15, 2022 #21 Kwa wimbi hili LA wasomalia na waethiopia sidhani kama wanawajibika hao.
benzemah JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 1,533 Reaction score 3,187 Aug 15, 2022 Thread starter #22 Reykijaviki said: Very busy prezida, Ila uhamiaji nao wapunguze majivuno hasa ukifika ofisini kwao, wanajiona kama wamemaliza kila kitu Click to expand... Yaani hapa umegusia kwenye kidonda, wale jamaa sijui wanajionaje
Reykijaviki said: Very busy prezida, Ila uhamiaji nao wapunguze majivuno hasa ukifika ofisini kwao, wanajiona kama wamemaliza kila kitu Click to expand... Yaani hapa umegusia kwenye kidonda, wale jamaa sijui wanajionaje
MWANAHARAMU JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 4,041 Reaction score 10,699 Aug 15, 2022 #23 benzemah said: Hata TANAPA ni jeshi, Jeshi usu Click to expand... Uhamiaji ni jeshi kamili kulingana na majukumu yake. Sio usu Wala unsu fatilia duniani
benzemah said: Hata TANAPA ni jeshi, Jeshi usu Click to expand... Uhamiaji ni jeshi kamili kulingana na majukumu yake. Sio usu Wala unsu fatilia duniani