Kwani Tanzania ni wapi mkuu?Hivi wazee huwa wapo Dar pekee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Tanzania ni wapi mkuu?Hivi wazee huwa wapo Dar pekee?
Mwendazake alienda nayo,Pamoja na corona yote hii bado tuna kusanya wazee sehemu moja jamani?
Tz ina mikoa 26Kwani Tanzania ni wapi mkuu?
Mataga wamepoteana, hivi kwa sasa wanasimamia nini au msimamo wao ni upi? Kuna wale wa Jiwe na kuna wa Samia na kuna wale wa Sukuma gangBavicha wamecover nafasi ya mataga!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana ccm mbele kwa mbele
Bado ipo mkuu inatafuna watuMwendazake alienda nayo,
yupo ndugai sasa ataongea naye niniKwani Dodoma hakuna wazee?
'Kulikuwa na utaratibu maalum wa kuwapata wazee hao'-RC.Watakuwa ni wazee wote ama wa CCM peke yake?
atapanga siku ataongea pia na wazee wa chatoMambo ya Msoga sasa.
Sio kila Mzee ni Mzee hata wahuni huwa wanazeekaAmewapuuza wazee wa Dodoma!
[emoji24][emoji24][emoji24]
Nakufananisha na Ndege mmoja anaitwa African jacana kwa waliosoma Tabia za Ndege waambie wakuelezee alivyo.Dikteta aliwadharau sana.
Kwahiyo unaona wivu?Bavicha wamecover nafasi ya mataga katika kuisifu CCM.
Safi sana, CCM mbele kwa mbele.
Sina muda mchafuNakufananisha na Ndege mmoja anaitwa African jacana kwa waliosoma Tabia za Ndege waambie wakuelezee alivyo.
Mazwazwa wengi ndivyo walivyo bwashee.Sina muda mchafu
Sure mkuuMazwazwa wengi ndivyo walivyo bwasheeeee
Tatz ni DSM? Hajifungii nao chumbani, hata wewe usiye mzee utamsikia, wazee wote watamsikia.Kwani Wazee wapo Dar Es Salaam TU?