Rais Samia Suluhu mteue Prof. Mussa Assad katika nafasi yoyote ile atakusaidia sana

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.

Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
 
Nani alikwambia CAG akishastaafu anaruhusiwa kupewa kazi nyingine na serikali?
 
Mzee huyu nadhani apumzike tu lakini kwa ushauri anaweza kutumika. Wapo wengi tu wenye uadilifu kama yeye wanaweza kutumika wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…