Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.