Rais Samia Suluhu mteue Prof. Mussa Assad katika nafasi yoyote ile atakusaidia sana

Kasome katiba ili ujue unachopendekeza hakiwezekani mpaka katiba ibadilike
 
Hayati Magufuli :Eti CAG kuna upotevu Trilion 1.5?


CAG Assad :Hapana mkuu taarifa hizo si za kweli.


CCM mbele kwa mbele
Ukiweza kuipata ile video ungejua vizur kuwa mzee alikuwa smart Sana alivyojibu Lile swali
 

Kwahiyo Tanzania nzima ni Yeye tu pekee ndiyo ana Uwezo huo na Wengineo ni Vilaza tu?

Acheni Kutumika na Kutaka Kumpangia Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan awaridhishe.

Huu ni muda wa Watanzania wengine nao kupewa Nafasi ili nao watuonyeshe Uweledi wao.
 
Taja kashfa zake nyie ndio wanafiki wenyewe.
 
Kashfa za Asaad kutoka wapi tena. Walio na kashfa kama huwajui sema tukusaidie..?!
 
Mimi naungana na mtoa hoja Tanzania hii hakuna mwenye msimamo mkali anaefanana na Mussa Assad.
 
Tusiangalie dini yake tuangalie uwezo. Ofisi ya CAG wakati wa Professor Mussa ilifanya vizuri sana kuibua madudu serikalini mpaka Marehemu alichukia na akaamua kumfukuza kazi kabla ya wakati.
 
Wazee wapo kazini miaka kibao, wamestaafu na kurudishwa, bado unapiga promo za wazee kurudishwa maofsini Wakati huo huo mnapiga kelele vijana hawana ajira???

Koma kabisa
Mijizi ya Sukuma gang utaijua tu mwa kujifanya ni watetezi wa "wanyonge".
 
Hebu tupe kashfa zake itakuwa exclusive hiii

Maana hazijawahi kuandikwa kokote
 
Sifahamu kama kuna cheo serekali cha namna hii, lakini nafasi kama hii ingeliwepo ingelimsaidia sana rais wetu katika kudhibiti hasa manunuzi kwa kuweka mipaka, hivyo chombo hiki kikawa kinafanya filtering ya bei na kutoa miongozo mbalimbali, inasikitisha sana kwa muheshimiwa rais kujitahidi kwa nguvu zote huku wachache wakiona ndio wakati wao sahihi wa kufanya sabotage, Asad akiwepo kwa taaluma yake hakika rais wetu atakuwa na amani wakati wote, pia Prof Asad ni muislam safi kabisa, tukumbuke wenzetu wamelelewa katika utu zaidi na imani ya duniani sisi si lolote tunapita tu.
Wasalaam tupige soga!
 
Hoja nzuri sana
 
Mwacheni apumzike¡
Bado ana nguvu ya kufanya kazi. Ikupendeze mh Raid umpe jukumu Hilo aweze kudhibiti kwenye manunuzi ya serikali. Huyu hata hicho Cha juu kilichowekwa kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo usingesikia.
 
Wazee wapo kazini miaka kibao, wamestaafu na kurudishwa, bado unapiga promo za wazee kurudishwa maofsini Wakati huo huo mnapiga kelele vijana hawana ajira???

Koma kabisa
Tunataka watu waadilifu wafanye kazi uchumi ufunguke tuanzishe na viwanda na miradi mingine Ili na hao wasio na ajira wapate kazi.
 
Katiba hairuhusu
 
Amekusikia prof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…