Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake.
Nionavyo Mimi huyu atakuwa msaada sana kwa Serikali yako. Hatokuangusha.
Tatizo letu Watanzania huwa tunasahau upesi sana. Huyu Assad Wengi wenu mnaemsifia na hata kutaka kumtafutia kaziKwa Samai ni mtu ambae ameitia hasara sana nchi hii akiwa mkurugenzi wa bodi ya NSSF na Mwenyekiti wa AUDIT committee wa bodi hiyo. Hayo magofu ya NSSF yaliyoko huko Kigamboni na watu kuyalilia kila siku ni mazao ya ASSAD akiwa mjumbe wa bodi na Ramadhan Kitwana Dau akiwa mkurugenzi mkuu wa NSSF.
Kwa mapendkezo yake kuwa wajumbe wa bodi za mashirika wawajibishwe, yeye angetakiwa kuwajibishwa kwa ubadhirifu waliofanya pale NSSF!
Assad hana moral authority ya kuwanyooshea kidole mafisadi wanaohujumu mashirika ya umma kwani yeye pia ni mmoja wao.