Rais Samia Suluhu ndie kiongozi pekee wa kisiasa Tanzania ambae ni kielelezo cha uzalendo na nembo ya umoja wa kitaifa na kimatafa

Maavi matupu huko kwetu Zenj hata Tanga na Mambasa husema,. Usitake kunitapisha na kuntaafisha mwanangu kwa jinamizi hili. Je amekutuma au unajituma kama siyo kujikomba? Maybe, unatafuta kiki maana sioni kama unajua maana ya uzalendo. Anyways, kamuulize Mchengetwa.
mihemko si muhimu sana gentleman kwenye Ukweli mtupu kama huu, masuala ya kutapishana si ushirikina huo gentleman? Binafsi sihusuki huko,

na sina haja ya ruhusa ya yeyote kueleza ukweli. Ninayo majukumu na dhamana muhimu nzito sana, kwa familia na taifa kwa ujumla.

nimeleza ukweli huo mtupu, bayana na wa wazi kuhusu Dr.Samia Suluhu Hassan kwa faida ya wadau wote JF, lakini pia kwa faida ya waTanzania wote 🐒
 
Unaujua ukweli au uchawa mtupu chawa wewe? Huwezi kumlinganisha huyo kubushutiii wako na hata chawa wake achia mbali watangulizi wake.
 
gentleman,
chuki na makasiriko haviwezi kufua dafu kwenye ukweli.

ukweli utabaki pale,
kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ni kielelezo za uzalendo, utaifa na amani ya Tanzania mbele ya dunia nzima..

wachochezi wa chuki na migawanyiko miongoni mwa wananchi wataendelea kudhibitiwa vilivyo, sambamba na mabwenyenye ya magharibi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom