mihemko si muhimu sana gentleman kwenye Ukweli mtupu kama huu, masuala ya kutapishana si ushirikina huo gentleman? Binafsi sihusuki huko,
na sina haja ya ruhusa ya yeyote kueleza ukweli. Ninayo majukumu na dhamana muhimu nzito sana, kwa familia na taifa kwa ujumla.
nimeleza ukweli huo mtupu, bayana na wa wazi kuhusu Dr.Samia Suluhu Hassan kwa faida ya wadau wote JF, lakini pia kwa faida ya waTanzania wote π