Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,058
- 2,637
Achana na hawa pinga pinga, huo mradi uko ndani ya ilani ya chama cha Mapinduzi. Kutokamilika kwa hili daraja maana yake Ccm itakuwa imeshindwa kutimiza ahadi yake halafu 2025 mje hapa kulalamika.Tuliowahi kupata adha ya kuvuka pale wakati mwingine hadi saa sita usiku mko Busisi Ferry imeloga, tunaona umuhimu wa hilo daraja
Hiyo ni roho ya kichwawi.. Huduma ya mwendokasi inamsaidia nini mwananchi wa busisi, ubungo interchange je,daraja la kigamboni je!?Halina Tija kwa Taifa, limejengwa kwa utashi wa MTU binafsi.Kuna miradi mingi ambayo Mh.Rais wa JMT Madame President SSH na viongozi wenzake lazima waifanyie mapitio kama inafaa kweli kuendelea?Fikiria Chato Stadium, Airport, Referral Hospital,Kigongo Busisi Bridge,Salender Bridge etc.
Nchi hii ni yetu sote,tunapoijenga tuweke vipaumbele.Tukamilishe JKN Hydro Electric Dam na sgr ili tuweze Ku recover tulichowekeza.Tuhakikishe chuma na Coal vinachimbwa tujenge sgr kuunganisha mikoa yote mpaka Zanzibar kwa treni na kuzalisha gas na kuisambaza majumbani kama nishati mbadàla.Miradi kama hiyo hata ikikopewa fedha ni sawa,lakini daraja la Kigongo Busisi?
Yeah wakurugenzi wengi wa mashirika ya umma waliwekwa kindugu mfano ni wale pale waliovunjiwa ubungo sijuiDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Ivi wanachama wa chadema kwanini huwa hawahoji ruzuku inafanya kazi gani paka wanachangishwa michango eti kiongozi yuko ndani wanaanza kuchangshwa?Ukisoma mawazo ya wafuasi wa CHADEMA ktk matukio kama haya ndio utaelewa kwa nini ruzuku zote hutafunwa kwa amani. Nadhani mfumo umetuokoa kutawaliwa na mbumbumbu wa nchi hii. Ni vizuri vyama vya maana vianze na kuachana na wapuuzi hawa.
Chadema ni watu wa hovyo Sana ktk nji hii, na ndiyo maana watu wote walioko huko ni maskini wote!!Lile daraja muhimu mno sana labda kama hujapita huko
Yawezekana hili daraja lina umuhimu kiuchumi lakini namna ambavyo Magufuli alianza kujenga ilikaa kiukabila na kikanda ndiyo maana wachangiaji wengi wanalipiga vita.Halina Tija kwa Taifa, limejengwa kwa utashi wa MTU binafsi.Kuna miradi mingi ambayo Mh.Rais wa JMT Madame President SSH na viongozi wenzake lazima waifanyie mapitio kama inafaa kweli kuendelea?Fikiria Chato Stadium, Airport, Referral Hospital,Kigongo Busisi Bridge,Salender Bridge etc.
Nchi hii ni yetu sote,tunapoijenga tuweke vipaumbele.Tukamilishe JKN Hydro Electric Dam na sgr ili tuweze Ku recover tulichowekeza.Tuhakikishe chuma na Coal vinachimbwa tujenge sgr kuunganisha mikoa yote mpaka Zanzibar kwa treni na kuzalisha gas na kuisambaza majumbani kama nishati mbadàla.Miradi kama hiyo hata ikikopewa fedha ni sawa,lakini daraja la Kigongo Busisi?
Perhaps my death won't lead some people to celebrate. I am trying not to wrong anyone on Earth. So that after I perish, I wont leave grudges behind.
Uko vizuri,Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Mtatumia kivuko kinachotumika sasa. Kuna mambo muhimu mengi ya kufanya. Kwa mfano wafanyakazi wa Tanzania hawaja pewa increments zao. It was STUPID kwa Magufuli kusema eti siwaongezi mshahara najenga miundo mbinu.Daraja hilo ni muhimu sana aisee,
Pu.mbavu kweli wewe!!!Mtatumia kivuko kinachotumika sasa. Kuna mambo muhimu mengi ya kufanya. Kwa mfano wafanyakazi wa Tanzania hawaja pewa increments zao. It was STUPID kwa Magufuli kusema eti siwaongezi mshahara najenga miundo mbinu.
Wacha matusi hata Kama wewe ni la 7. Kuwa mpole Msukuma, iko siku nitakurudisha kusoma hapa tena.Pu.mbavu kweli wewe!!!
Daraja linajengwa na huyafanya kitu!!!
Lbd daraja la Wami Ruvu ndio litasubiri, mtazunguka Dodoma kwenda DSM
Wewe jamaa punguza chuki na wivu dhidi ya wananchi wa kanda ya ziwa na kama hujui umuhimu wa hilo daraja basi tuulize, ni bora lidaraja la kigamboni libomolewe kwani sioni umuhimu wake zaidi ya kuunganisha mji na kijiji.Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Huyo jamaa kajaa chuki sana, ni bora daraja la sarender likastopishwa kabisaa.Mtoa post ni mbaguzi. Hafai kabisa.