Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Panga pangua inakuja tu. Wasukuma watusamehe kwa kweli. Walivyokula vinatosha.

Nchi inabidi irudi kwa Wananchi na kila raia apate fursa sawa.
 
Wale GDP yao kubwa na density ya eneo lao kubwa, hivyo hata mapato yako tofauti na yetu! Kwa hivyo Ni haki yao kujenga project za Namna hiyo.
 
Dogo hujui lolote zaidi ya chuki za kichawi
 
Kikombero ipi na Mahenge ipi, usitaje maeneo tu. Naamini hapo Busisi na geography yote ya eneo hilo unaiangalia kwa tv tu hujawahi kufika, magari mengi kwa sasa yanapita Kamanga lakini ni usumbufu sana sababu watu wanasubiri feri muda mrefu. Kigoma, Bukoba, Geita, Kahama, Rwanda na Burundi wanapitia feri hiyo, daraja la Busisi litasaidia sana tena sana.
 

Na wewe umeweka makalio yako ukaona uandike upuzi huu. Acheni chuki za wazi wazi kwa miradi aliyoasisi hayati. Roho mbaya haijengi. Acheni tupate vitu ambavyo kwa namna moja ama nyingine tulikuwa tukiona kwenye tv za Ulaya.
 
Pale hisia zinapofanya kazi kuliko akili.
 
Acha ushamba wewe ulishavuka maeneo hayo especially jion uone foleni iliyopo pale, uzuri Jamiiforums sio Twitter au Facebook ambayo utaimbisha watu pambio waitikie, punguza chuki kwa kila jambo linalomuhusu marehemu itakusaidia kufikiri

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Unataka apunguze kura za Urais 2025?
 
Uzeni ndege maana hazina tija ili tumalizie hilo daraja.
We dogo nilishaupinga sana huu mradi kama mtu mwenye akili. Daraja halina tija kwa watu wa kanda ya Ziwa maana hata maji ya kutumia shida.
 
Acha daraja lijengwa maana linahudumia watanzania hata kama wangekuwa 10 wana haki
 
Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!
Leo ndio mwisho wa kumuita huyo juha tuliyemzika hayo majina sijui mwamba, jemedari.
 
Kamati ya fedha na mipango ya bunge ilipitisha... sheria mpya ya manunuzi ya serikali ya mwaka ...... kifungu ...... a na b na c

Fanya homework
Kwani Chato International Airport aka Gbadolite ilipitishwa na Bunge?
 
Daraja lina umuhimu sana kwa wenyeji wa hapo maana wanatumia muda mwingi sana kuvuka hapo huo mradi ni wa muhimu sana kuliko daraja ambalo linajengwa hapo Dar karibu na Selender bridge

Daraja la Busisi ni muhimu sana ila la Salenda ni White Elephant Project kwakuwa lishaanza no way inabidi limaliziwe tu maana kuliachia kati kati pia ni hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…