KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Sehemu yenyewe ni 'BUSINSI'Acha chuki basi,daraja la Busisi ni muhimu sana tena sana. Linaunganisha Mwanza na Geita. Na litapunguza muda wa kutoka Mwanza kwenda Geita. Ni muhimu sana tena sana.
Huko ulipotaja hawatumii tena kivuko Magu alishaweka daraja na alilizindua mwenyewe.Urefu wa daraja na kuja kuwa daraja maarufu sio vigezo wala kuwa sababu ya ujenzi wa daraja. Suala ni gharama za ujenzi wake vs faida za kiuchumi.
Kama ni uhitaji tu, maeneo mengi sana hapa Tz yanatumia vivuko (vingine ni vibovu) na yangeweza kufikiriwa pia kujengewa daraja. Kwa mfano maeneo ya Morogoro (Mahenge, Kilombero nk), Tanga (Pangani) nk.
Leo ndio mwisho wa kumuita huyo juha tuliyemzika hayo majina sijui mwamba, jemedari.
Hizi ndio sababu mama Samia anatakiwa kuelewa misingi ya strategic investment Magufuli alizoacha na faida zake za uchumi kwa mapana.Sitaki hata kujikita kwenye umuhimu wa daraja sababu it's obvious lina umuhimu. Nachotaka kusema moyo wako umejaa chuki sana..naujali hata uamuzi huo unaweza leta chuki kwenye taifa. Unafikiri Mama akikusikiliza na wananchi wa kanda ya Ziwa wakasikia Serikali imesitisha itakuwaje? Kama sio kuanza kuligawa taifa? Au unafikiri kodi mnalipa nyie tu na ukoo wako? Hauoni madini,? Samaki, idadi ya watu kanda ya ziwa wana mchango kwa taifa? Watu kama nyie hamfai kuwa hata wenyeviti wa mitaa, uwezo wa kufikiri ni mdogo sana. Na jifunze kutokuwa na wivu na taifa lako. Furahi nchi inapopiga hatua sio kutaka kuona mambo hayaendi.
Yanawaza kugawana hela za daraja yakanywee faru John.Lingekuwa Kilimanjaro ndio lingekuwa na maana, sehemu nyingine kwa CHADEMA hazina umuhimu wa maendeleo.
HAPANA. Mimi critic Mkubwa wa sera na uongozi wa jamaa huyu akiwa Rais...
Lakini miongozi mwa miradi inayotakiwa kuendelezwa mmojawapo ni huo ujenzi wa daraja la Busisi kuunganisha mikoa ya Geita & Kagera...
Projects zingine za kuendelezwa ni ujenzi wa reli ya SGR na Bwawa la umeme la Stigler Gorges...
Za kurekebishwa ni mradi wa ndege za shirika la ndege la taifa - ATCL. Waachwe wajiendeshe wenyewe kibiashara na washindane na mashirika mengine. Amelifufua, basi, inatosha. Serikali iache kabisa utaratibu wa kuwa ina dump pesa hapo badala ya wao ATCL kuzalisha pesa kwa biashara yao na kulipa kodi serikalini...
Ndio tatizo la watanzania mmekalia majungu na wivu wa kijingaDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Priority
Hawa ni wale wabinafsi wanaofikiria matumbo yao,ana imani siku ujenzi huo ukisitishwa hela itamrudia yeye ale na familia yake...Mtoa post ni mbaguzi. Hafai kabisa.
Watanzania ni wapumbavu sana sometimes. Hivi kuna faida gani ya kupinga aliokuwa anafanya hayati,for the welfare of the society?Kwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
Watanzania ni wapumbavu sana sometimes. Hivi kuna faida gani ya kupinga aliokuwa anafanya hayati,for the welfare of the society?
Hivi mtu anayebana pesa kwa ajili ya maendeleo ya jamii kwa ujumla na yule anaehujumu pesa kwa ajili ya kujilimbikizia maghorofa na mali kila kona ya jiji kwa maslahi yake binafsi yupi ni mshenzi?
Ndio akina shimboni shafo hao, huku wananchi wakiwa wanateseka atakachokifanya atanunua kivuko kwa hela za kufisadi mradi kisha akiweke hapo ili aingize hela na kuhakikisha kile cha serikali ni kibovu mda wote wakati with the right thinking daraja lingewezekana kujengwa tu for the same money wananchi wakafaidika.Hawa ni wale wabinafsi wanaofikiria matumbo yao,ana imani siku ujenzi huo ukisitishwa hela itamrudia yeye ale na familia yake...
Vipi kuhusu maoni yako lile linalopita baharini tokea posta mpaka Oysterbay sijui huku Dar?Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Hujui hata mradi ni wa kiasi gani unadanganya wajinga wenzako tuu... Mara nyingine ni busara kukaa kimya budah
Kila kilichoainishwa kwenye ilani kitatekelzwa,achana na mihemko ccm ni ile ie bado ipo madarakaniDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Kila kilichoainishwa kwenye ilani kitatekelzwa,achana na mihemko ccm ni ile ie bado ipo madarakaniDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
stupidDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.