Kwa heshima kubwa Mheshimiwa Rais SSH nawasilisha kwako ombi maalum kwamba, kwa mamlaka uliyo nayo na kwa kutumia ofisi zilizopo kikatiba mwachie huru Ndg. Freeman Aikael Mbowe.
Hoja yangu naijenga katika misingi ya kuliponya Taifa na majeraha ya chuki na kutokuelewana.
Mhe. Rais nakariri maelezo ya ZZK ya hivi majuzi kuwa mashtaka ya Mbowe hayana maslahi kwa Taifa.
Mhe. Rais. Nakuomba sana na naomba kuwasilisha. Naamini kwa dhati utazingatia ombi hili maalum kwa maslahi mapana ya Taifa letu.