Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Anazunguka Mbuyu!Huyu nae ataondoka kwa Corona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafanye yote ila hatutaki kusikia lockdown..
Mwache mama aogelee atakuja kuona urais ni mzigo. Waungaji mkono anawatimua kimya kimya.Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je anataka Watanzania wa amini halikuchukuliwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
TUSUBIRIMh SSH ameanza vizuri ngoja tuone matokeo ya aliyoyazungumza kwanza.
Lockdown ya nini? Si walisema maiti zitaokotwa mtaani? Mbona hatuoni hivyo vitu?Lockdown ni kichaka cha upuuzi mliokaririshwa
Hahahaha TAGA pole sana nenda chato nawewe kaingie kwenye kile kigozi cha kondoo.Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je anataka Watanzania wa amini halikuchukuliwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
HaswaaaPoint yake kuu ni Tanzania ijulikane ina msimamo gani, wanakubaliana na mapendekezo au hawakubaliani nayo ila sio kuwa haijulikani msimamo wake...
Yeye msimamo wake unaonekana wazi, havai barakoa hana mpango wa lockdown maana hata hajazungumzia...
Asante kwa yote. Muda ndio msema kweli. Jua hatukurupuki tu kuyasema haya iko nguvu yenye uweza Mkuu kuliko nguvu zote ituongozayo.Hahahaha TAGA pole sana nenda chato nawewe kaingie kwenye kile kigozi cha kondoo.
Mlituharibia sana nchi kwa ushenzi wenu.
Hakuna jipya hapo, kama ni kutangaza wagonjwa je ameamua kuzuia watalii?Kwenye hiyo kamati awemo pia Dr Kigwangalla na Prof Mchembe!
"Corona ni ka ugonjwa kadogo, tumeikimbiza kwa maombi". Mataga wanapiga vigelegele.Leo nimethibitisha kwa rasilimali CCM walizo nazo wana uwezo wa kushikilia dola miaka mingine 100 ijayo
Hongera sana rais wetu Samia Suluhu Hassan[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Unaweza sana mama
"Corona ni ka ugonjwa kadogo, tumeikimbiza kwa maombi". Mataga wanapiga vigelegele.
"Hatuwezi kujitenga, tutaunda team ya wataalam kukabiliana na Corona". Mataga wanapiga vigelegele tena.
Wazazi kuweni makini na malezi mnayowapa watoto wenu. Taifa limekumbwa na upungufu wa maadili. Siku hizi uongo na unafki ni sifa. We're doomed!
Nimesikitika sana Kwa JPM kujitoa kwa Makusudi kwa Watu wasio na Shukrani na Wanafiki. Nimejifunza hapa Duniani ni kuamini katika imani ya Mungu tu na kujipenda na kusaidia wengine bila kujali nini nitalipwa. Binadamu ni Viumbe wa ajabu sana.Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Mtapata chanjo🤣🤣🤣...Finally tuna matumaini hata ya kupata chanjo, yule mwingine alitupotosha sana na nyungu
Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Hiyo nguvu ya shetani mliyoitumia kunyanyasa na kudhulumu watu?Asante kwa yote. Muda ndio msema kweli. Jua hatukurupuki tu kuyasema haya iko nguvu yenye uweza Mkuu kuliko nguvu zote ituongozayo.
Uzuri hata hizo chanjo zikiletwa wewe hautalazimishwa kuchanja kwahiyo utulie tu na familia yako.Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Kuwa makini sana na unachokitamaniFinally tuna matumaini hata ya kupata chanjo, yule mwingine alitupotosha sana na nyungu
Tunapimwa CORONA.Kuwa makini sana na unachokitamani
Ivi unajua Tz ni kati ya nchi chache ambazo hazijaathirika sana na cv 19