#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

h
Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?

Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.

Je anataka Watanzania wa amini halikuchukuliwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Ni kweli asichague upande haraka kwenye suala la korona awe na tahadhari nalo inaweza kuwani mapema sana kuanza kuonyesha kuwa yeye ni bora kuliko aliyetoka kwenye hili ama liyetoka hakutumia utaalam au aliutumia hali halisi Tanzania haiwezi himili lock-down kwa hali halisi ya vipato vya wananchi hata suala la chanjo bado lina mengiya kuangaliwa kabla ya kuruhusu yeye na washauri wake wasiwekeze kumnanga mwenda zake bali wawekeze kwenye kuonyesha njia wanayoilekea kwa mtazamo wake maana wanao onyesha unafiki kwa jpm leo ndo hao wataonyesha kwake kesho ikienda vibaya
 
Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?

Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.

Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Wewe ni nani mpk upinge alichosema rais wetu, kaa kimya wakt wenu ulishapita.
 
Nimesikitika sana Kwa JPM kujitoa kwa Makusudi kwa Watu wasio na Shukrani na Wanafiki. Nimejifunza hapa Duniani ni kuamini katika imani ya Mungu tu na kujipenda na kusaidia wengine bila kujali nini nitalipwa. Binadamu ni Viumbe wa ajabu sana
Kweli kabisa Binadamu ni viumbe dhaifu sana
Tz watu wengi ni wavivu kufikiri mind zao zinaendeshwa na mihemko leo wako kwa huyu kesho wako kwa huyu
 
Kuwa makini sana na unachokitamani
Ivi unajua Tz ni kati ya nchi chache ambazo hazijaathirika sana na cv 19
Bafp haitufanyi sisi kuwa nje ya ulimwengu, itafika mahaki huwezi kusafiri nje ya nchi kwa sababu hujapata chanjo, labda tuhamie Mars au Jupiter tujue tunaishi maisha yetu wenyewe na viumbe visivyo hai
 
Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?

Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.

Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
We kama hutaki endelea kupiga nyungu
 
Bafp haitufanyi sisi kuwa nje ya ulimwengu, itafika mahaki huwezi kusafiri nje ya nchi kwa sababu hujapata chanjo, labda tuhamie Mars au Jupiter tujue tunaishi maisha yetu wenyewe na viumbe visivyo hai
Vipi nazile habari tunazosikia kuwa chanjo inafawanya damu zigande,kama taifa tunaweza kulihandle vipi hili??
 
Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?

Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.

Je anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Hahaha haaaa! Nakusikitikia,kwani hata ukiwa na mapenzi namna gani na JPM huwezi hata siku moja kuandika na kufikiri hivi. Najua leo ni siku ya 21 na ni ya mwisho kwa maombolezo kitaifa, lakini ukweli utabaki kuwa ukweli.

Hivi ubajua madaktari pale wanapogundua mgonjwa kafa kwa UVIKO-19(Covid-19), katika taarifa ya kifo walikuwa wanaandikaje? Nikiweka kumbukumbu sawa, cheti kilikuwa kinaandikwa Taabu ya kupumua na nimonia kali. Wataalam wanajua kuwa Nimonia sio UVIKO na taabu ya kupumua inaweza kusababishwa na magonjwa lukuki. Hivyo hakuna tamko/andiko la kidaktari hapo, ni wanasiasa wakaiteka taaluma.

Hali hiyo haikutokea katika idara ya Afya tu, bali sehemu zote katika utawala wa awamu ya 5. Fuatilia taarifa ya CAG- Assad, na matamshi ya wanasiasa. Kama hatuheshimu wataalam, jua Tanzania tumekwisha. Amka!

Huu ni mwanzo kabisa wa ufumbuzi wa matatizo mengi yaliyopo Tanzania. Mama endelea, watakuelewa tu na wanataaluma watapumua kutekeleza kwa vitendo waliyoyasoma miaka mingi.
 
Back
Top Bottom