Rosicky
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 1,202
- 2,045
Unajua mpaka now dunia hajitambua motive behind ya Cv 19 wala agenda ya chanjo ya cv 19Ndio maana Rais kasema wataunda team ya wataalamu, by the way mpaka sasa nina ndugu zangu na rafiki zaidi ya kumi waliopewa chanjo tayari na hakuna aliedhurika, nadhani changamoto ipo lakini we should also consider the positive side of it
Hilo suala la kuunda team ya wataalamu ndio hatari zaidi tena hatari sana, why
kwa sababu Sayansi ya corona kwa kiwango kikubwa tunategemea miongozo na data za Europe ndo nchi nyingi zimefanya tafiti, je team ya wataalamu ikihitaji reference itapewa genuine information.
Vifaa na teknologia ya kufanyia utafiti asilimia kubwa tunategemea ku import(U can sense danger here)
Macho yote ya wazungu yapo kwenye team ya wataalam vipi wakirubuniwa kwa pesa na kuinfluence matokeo ya utafiti.
NB wazungu hawana roho nzuri kama tunavyodhani.