Kama umeajiriwa na unalipwa kwa kueneza propoganda za kinafiki ni kusaidie je? Takwimu z vifo vya korona huko zinapotolewa zimesaidia nini?
Hujui Mganga mkuu wa Uingereza kasema wataishi na corana kama flu. Kwa nini asiseme wataishi nayo kama covid 19? Hujui hilo neno flu ndio hii nimonia na taabu ya kupumua inayo andikwa kwenye vyeti hapa kwetu na hekima yake hiyo ya kuwaondolea watu hofu na woga ya JPM almaruhumu mnainanga na hamuioni. Anaye inanga na wapambe wake hawaoni ujasiri wa kutovaa barakoa walioambukizwa na hekima hii..