#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

Hakuna jipya hapo, kama ni kutangaza wagonjwa je ameamua kuzuia watalii?

Nimesikia anataka watalii je kama covid ni nyingi watakuja au?

Je, mko tayari kufungiwa mikoa na kupunguza muingiliano?

Muko tayari kuwekewa karantini ya masaa ya kutembea?

Sioni kama hata wanao fulahi wakikaa kimya zaidi tena ya kupinga.
Yatakiwa ijulikane wazi, hapa kwetu kuna kiwango gani cha maambukizi. Kuendelea kujidanganya kwa kuficha uhalisia INAWEZA kuja kuwa na madhara makubwa mbeleni.
 
inawezekana ndio..kama nairobi,kampala,johannesburg na miji mikubwa kuliko dar walifanya hapa serikali ikiamua watashindwa nn? ndio maana tunaomba isitokee mtawala akapata mawazo hayo itatuumiza watz.
Practically haiwezekani. Niamini! Nimeshakaa kwenye maendeo yenye lockdown na najua inamaanisha nini. Dar practically haiwezekani. Tena inaweza kuongeza tatizo kuliko kuleta ufumbuzi.
 
Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?

Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.

Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Chanjo lazima , hawezi kukubali mkose huduma kisa chanjo ,mtachanjwa tu akithibitisha kuna umuhimu huo.Acha watafiti wamalize
 
Practically haiwezekani. Niamini! Nimeshakaa kwenye maendeo yenye lockdown na najua inamaanisha nini. Dar practically haiwezekani. Tena inaweza kuongeza tatizo kuliko kuleta ufumbuzi.
wewe unafikiri nini ambacho hakijafanywa na awamu iliyopita kupamban na hilo janga bila ya kwenda lockdown.?
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amesema anakusudia kuunda kamati ya wataalam kutadhmini janga la Corona Tanzania na kuishauri serikali nini cha kufanya.

Dar es Salaam. President Samia Suluhu Hassan has said that she intends to form a committee of experts to professionally evaluate the Covid-19 pandemic so as to advise the government on the way forward.
“On the issue of Covid-19, I think I should form a Committee of experts to look at it professionally and then advise the Government, it should not be silenced or rejected or accepted without professional research,” she said.

She added: We cannot isolate ourselves as if we are an Island but also we cannot accept everything brought to us, we cannot continue just reading about Covid 19 Worldwide, yet Tanzania is all blank, it is incomprehensible

According to her, Tanzania needs to have a clear and understandable position regarding the pandemic so that it can make informed decisions.

In view of that she said, Tanzania cannot rely on outside reports on the state of the pandemic while it has none.

“Tanzania needs to have its own understanding of where we stand on the issue of Covid-19,” she stressed.

Tanzania last released data on Covid-19 almost a year ago with data then showing that Tanzania only had 509 cases.

Since then government adopted the approach that Tanzania was free from Covid-19 with authorities encouraging local remedies such the steam therapy.

Chanzo: The Citizen
 
Yule Mama mpaka aunde sijui timu halafu timu ikae chini itunge siasa, Corona itakuwa imeshapita nae!
 
Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?

Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.

Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Alikuwa hashauriki....
 
Kw hii comment yako nimegundua nabishana na kilaza. Inamaana hatukuwa na uwezo wa kutengeneza barakoa mpaka tukachukuwe hizo zenye infection?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatuna uwezo wa kuweka kumbukumbu za meli na kukagua vilivopo kwenye container hapo sijazungumzia mtu kuho gwa na kuruhusu ziingizwe zilixo na infections na chanjo za kuwafanya Watanzania kuwa nguruwe Guinea.
 
Kasome hiyo taarifa ya mganga mkuu wa Uingereza uielewe ndio uje kuongea hapa. jiulize kwanini hakusema kuanzia sasa hivi wataichukulia Corona kama flu, na kasema kuanzia June?

Change of tongue is what matters the most. Mmeshindwa kusaidia Mama asubuhi na mapema.
 
Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu.

Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu.
Kwakweli ilikuwa tishio kutaja COVID 19 kuna hili tangazo, msikilize mtangazaji kwa makini uje na comment

1617718919747.png


Rangi zinaakisi kujisogeza karibu na wahusika
Mtangazaji anatamani kuukumbatia mbuyu lakini mikono haikutani🤣
 
Chanjo lazima , hawezi kukubali mkose huduma kisa chanjo ,mtachanjwa tu akithibitisha kuna umuhimu huo.Acha watafiti wamalize

Watafiti ambao matamshi yana onesha kunakila dalili watawekewa shinikizo ili mradi huu wa biashara uendelee.
 
Back
Top Bottom