ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Hapo tu. Mengine sawa.Wafanye yote ila hatutaki kusikia lockdown.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo tu. Mengine sawa.Wafanye yote ila hatutaki kusikia lockdown.
Alijitoa? Ashukuriwe Mungu kwa kuturudishia amani yetu angalau.Nimesikitika sana Kwa JPM kujitoa kwa Makusudi kwa Watu wasio na Shukrani na Wanafiki. Nimejifunza hapa Duniani ni kuamini katika imani ya Mungu tu na kujipenda na kusaidia wengine bila kujali nini nitalipwa. Binadamu ni Viumbe wa ajabu sana.
Yule mropokaji hakuwa anataka kushauriwa chochote na ndomaana yakamkuta. Wewe nawe ndezi kweli kweli. Inamaana angesikiliza ushauri wa wataalamu angeacha kuchukuwa tahadhari kama, kuvaa barakoa etc?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bure kabisa.
I see, hapo anatuambia mwendazake hakutaka ushauri wa wataalam kuhusu covid-19.Kwa style yake, chanjo za kina Bill gates zaja ni suala la wakati tu.Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Mlidanganywa tu na kutishiwa lockdown. Kuna namna nyingi za kupambana na Covid bila kutumia lockdown. Mama woyee.Wafanye yote ila hatutaki kusikia lockdown.
Unajua walau maana ya lockdown au unahadithiwa tu? Tanzania mazingira hayawezi kufanyika lockdown. Hili neno ''lockdown'' wabongo wengi hata hawajui maana na Magufuli alikuwa analitumia kujihami asiwajibike kwenye suala la covid. Bila hata lockdown kuna hatua za kuchukuwa nzuri tu.Wafanye yote ila hatutaki kusikia lockdown.
Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Hivi ulidhani chanjo isingekuja Tanzania hata kama Magufuli angekuwepo?I see, hapo anatuambia mwendazake hakutaka ushauri wa wataalam kuhusu covid-19.Kwa style yake, chanjo za kina Bill gates zaja ni suala la wakati tu.
Mitano tena kwako.Unajua walau maana ya lockdown au unahadithiwa tu? Tanzania mazingira hayawezi kufanyika lockdown. Hili neno ''lockdown'' wabongo wengi hata hawajui maana na Magufuli alikuwa analitumia kujihami asiwajibike kwenye suala la covid. Bila hata lockdown kuna hatua za kuchukuwa nzuri tu.
I see, hapo anatuambia mwendazake hakutaka ushauri wa wataalam kuhusu covid-19.Kwa style yake, chanjo za kina Bill gates zaja ni suala la wakati tu.
Point yake kuu ni Tanzania ijulikane ina msimamo gani, wanakubaliana na mapendekezo au hawakubaliani nayo ila sio kuwa haijulikani msimamo wake.
Yeye msimamo wake unaonekana wazi, havai barakoa hana mpango wa lockdown maana hata hajazungumzia.
Hakuna kitu ukiona hivyo.Mbona kamati ipo, na inafanya kazi. Sema mama kakazia zaidi
Wewe unauliza swali gani sasa.
Anayesema hivyo alikuwa makamo wa Rais, sasa wewe na yeye nani anajua zaidi kilichokuwa kinaendelea? Mwacheni mama asafishe nchi.
inakuja we tulia uchomwe sindano ya ndui, itakua ni mwendo wa kugongwa mtama unawekwa kwenye gunia unapelekwqa chemba ya maangamizi, jiandae tu kisaikolojia hamna namna mkuuWafanye yote ila hatutaki kusikia lockdown.
Ukisikia pimbi ni pimbi tuHivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
tulia tu mkuu ugongwe mtama, upigwe sindano ya ndui, ni nzuri haina tatizoHivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?