#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?

Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.

Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Na wewe utafariki pia kwa uzembe kama bwana wako.
 
Unajidanganya, nyungu kama kawa na inafanyiwa utafiti na matokeo watapewa WHO waamue lakini nyungu ni tiba dunia itaitambua, Uingereza corona imewashinda wameamua kuchukua approach ya Tanzania ya kuishi nayo, no lockdown ,no carfew.Magufuli alikuwa akili kubwa alijua dude corona si la kuendea pupa, mtahangaika sana.
Watu kama nyie hutujui mnaishi wapi,mpo duniani kweli?Mnaandika upuuzi tu,eti Uingereza sijui hamna lockdown,aliyekwambia nani?karibu asilimia 90 ya wanaoishi huko washapata chanjo ya kwanza, na asilimia 45 washapata ya pili na hadi kufikia juni watamaliza zoezi hilo.

Na bado wanachukua hatua za tahadhari kama kuvaa barakoa n.k Wapo salama.Baada ya mwezi Juni hakuna tena lockdown.Ndio maana makampuni ya simu yalipandisha bei ya Data hapa kwetu kuepuka baadhi yetu kuandika madudu.Wewe umezungukwa na nchi za jirani ambazo watu wake wanateketea kwa huu ugonjwa,Je sie tunaishi mbinguni?

Fikra za Magu kuhusu huu ugonjwa haukuwa wa kisayansi ndio maana tunajenga uwanja wa ndege kijijini,badala ya kununua mashine za kupima magonjwa kama huu wa covid 19.Jamani amkeni,hii awamu ya 6(SITA).
 
Na wewe utafariki pia kwa uzembe kama bwana wako.

Kufa ni faida kuishi ni Kristo. Wako walio kufa kwa korona Tanzania na watakao kufa. Hii haimanishi kumtegemea Mungu ni kosa au Mungu hajaisaidia nchi hii ukilinganisha na wengine wengi tu .

Ni upumbafu na ukengeufu kutaka kuamini kuwa kumtegemea Mungu ilikuwa ni makosa. Shetani na wakala wake tu ndio anaweza kuamini na kuaminisha hivyo. Shetani ni baba wa uongo wote. Kumbuka hilo.

Kufa kwa corona ama kifo kingine chochote hakimfanyi Mungu kutokuwa Mungu ama kumpunguzia Nguvu na Uweza wake Mkuu. Unless unatafuta ushari na Mungu.
 
Binafsi chanjo ni a big NO. I don't plan to be a statistic...people don't know what is happening with Vaers,pregnant mothers wanakufa Marekani from adverse vaccines effects,Pfizer vile vile walishawahi kupigwa fine ya kuidanganya serikali ya US kuhusu painkiller zao....the vaccines were produced under relaxed rules ,clinical trials that should have gone years took only months..

Nchi za nje wanafanya forced vaccinations ,if it 'cures' why force it upon your people.Seems fascistic to me.! Taking something that changes your DNA forever deserves a little bit of public scrutiny.and above all,(nimesikia kuna double mutant tena california) with the ongoing discovery of more variants,how many shots are you going to take?
 
Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?

Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.

Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Hahaha! Sasa kama mtu badala ya kushauriwa na wataalamu yeye ndio anawashauri wataalamu na akijua fika hawawezi kumbishia wafanyaje?

Yupo mmoja alionya suala la nyungu akatenguliwa sasa utatoa wapi guts za kushauri? Acheni husda kwa Mama hata enzi zile watu walitolewa akili....tuvumiliane.
 
Yatakiwa ijulikane wazi, hapa kwetu kuna kiwango gani cha maambukizi. Kuendelea kujidanganya kwa kuficha uhalisia INAWEZA kuja kuwa na madhara makubwa mbeleni.
Ukishajua kiwango utawatibu au utataka wafanye kufunga mikoa na kusafili kisha utapata faida?
Maana kujua kiwango bila kuchukua tahadhali ni ujinga.
 
Kwa sasa hivi ni too late, Chanjo tu kilichobakia
Huko uingereza wanapigwa chanjo lakini bado wanasema itabidi waishi nao kma mafua sasa hapo unasemaje kuhusu chanjo?
 
Chanjo zitasaidia kupunguza vifo haswa kwa Wazee na wenye magonjwa sugu
Wao Waingereza wanasema hivyo kwa sababu wana Winter ambayo hata Flu huwa inawasumbua sisi hatuna Winter

Winter watu kukohoa kohoa na kupiga chafya sana

Sisi tukipata chanjo itatusaidia sana
 
Hahaha! Sasa kama mtu badala ya kushauriwa na wataalamu yeye ndio anawashauri wataalamu na akijua fika hawawezi kumbishia wafanyaje?

Yupo mmoja alionya suala la nyungu akatenguliwa sasa utatoa wapi guts za kushauri? Acheni husda kwa Mama hata enzi zile watu walitolewa akili....tuvumiliane.

Una uhakika huyo aliyetumbuliwa hakuwa na maslahi na hii biashara ya WHO? Athari za korona kwa hayo mataifa yanayo tegemea taaluma na sayansi kwanza na sisi tunao mtegemea Mungu kwanza wapi ni zaidi?
 
Chanjo zitasaidia kupunguza vifo haswa kwa Wazee na wenye magonjwa sugu
Wao Waingereza wanasema hivyo kwa sababu wana Winter ambayo hata Flu huwa inawasumbua sisi hatuna Winter

Winter watu kukohoa kohoa na kupiga chafya sana

Sisi tukipata chanjo itatusaidia sana
Kenya wamechanjwa na wameweka karantini kuingia nairobi, sasa huko wote ni wazee?
 
Ukishajua kiwango utawatibu au utataka wafanye kufunga mikoa na kusafili kisha utapata faida?
Maana kujua kiwango bila kuchukua tahadhali ni ujinga.
Kinachotakiwa ni uwazi. Mengine hayo ni uoga wako mwenyewe usilishe watu maneno kama marehemu.
 
Kenya wamechanjwa na wameweka karantini kuingia nairobi, sasa huko wote ni wazee?
Sielewi unapinga nini, ila Mama keshaamua kuachana na siasa za kijinga kwenye covid za Mwendazake.
 
Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?

Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.

Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Umeipokea katika NEGATIVE WAY. Ni lini Tanzania iliundwa Task Force kuja na mapendekezo kwa Serikali? Tukumbushe kama ipo na wajumbe wake walikua akina nani?!
Kitu ambacho ni World Concern huwez kujitenga nacho, lazima tuwe na majibu, kama je chanjo iwepo au isiwepo na nini madhara ya kuwepo au kutokuwepo chanjo, je kama chanjo ni kampun za nchi gani Sputnik ya Russia au Astrazeneca au zile za US kama Jonhson and Johnson nk. Je ni makundi gani wachanjwe kama ikikubalika. Maswali hayo hapo juu bado kama Taifa hayajapatiwa majibu.
Hakuna Rais alikua mbishi kama Rais wa Brazil, ila COVID 19 ilileta athari sana kwa Brazil, akakiri kuwa ni tishio, sawa na Madagascar ambao nao wameamua kukubali chanjo. Asiyetaka kuchanjwa, ni hiari yake, ila asizuie wanaotaka kupata chanjo. Kwa mfano Chanjo ya Ugonjwa wa ini ipo na ni mandatory ukienda nje ya nchi(lakini domestically, watu hawana habari nayo)
Kwa hiyo sijaona ni kwa namna gani mama anataka hiyo unayodai ni siasa rahisi. Mama ni mwanadiplomasia, huo ni ukweli ulio dhahiri.
Tunashukuru mtangulizi wake(R.I.P) alitujengea ile hali ya kujiamini na kutuondolea hofu na ilitusaidia, sifa kubwa aliipata na ilisaidia, maana kihoro nacho ni ugonjwa mbaya kuliko ugonjwa wenyewe. Mwaka jana tulivuka salama.
Ila hali ikaja vibaya mwaka huu, trend ya January hadi mwishoni mwa February kama ulikua miji ya Dodoma, Dar, na Moshi na maeneo mengine hali ilitisha sana. Mungu ni mwema angalau March na April ile wave imekata.
Kwa hiyo, hatuwez kukaa tunasubiri wimbi moja liishe lije lingine, hii trend hadi lini, ni lazima kulifanyia kazi jambo hilo, kwa hapo mimi nampongeza Mh Rais wa sasa mama Samia.
Hatuwezi kumbeza Mh JPM(R.I.P) kwani alitutoa hofu na tulivuka salama, ila wave hii iliyopita majuzi ilitisha kwa kusema ukweli, lazima hatua fulani zichukuliwe kuliko kukaa endlessly.
 
Kwani nani kabishia hilo mbona hata ushoga ni world concern tume tahadharisha tu.
 
Back
Top Bottom